Akili ya bata kunye kwenye maji anayokunywa! Kwahy wewe ili uwe bora ufunge goli la kimataifa?Tuwekee goli la mayele la kimataifa hapa ili mada yako iwe vizuri iendane na uhalisia.
Goli la kimataifa Alifungwa Kaseja mechi ya Tanzania vs DRC pale Kwa Mkapa, Mfungaji wa Congo DRC alikua Fiston Kalala Mayele.Tuwekee goli la mayele la kimataifa hapa ili mada yako iwe vizuri iendane na uhalisia.
Wenye akili wametaja. Acha kuonesha ujinga wakoAkili ya bata kunye kwenye maji anayokunywa! Kwahy wewe ili uwe bora ufunge goli la kimataifa?
Kwa hyo ubora wake nikumfunga simba tu.Akili ya bata kunye kwenye maji anayokunywa! Kwahy wewe ili uwe bora ufunge goli la kimataifa?
Kwa hyo sasa hivi yuko team ya taifa utopolo bwana ndio maana mnaambiwa wenye akili ni wawili tu.Goli la kimataifa Alifungwa Kaseja mechi ya Tanzania vs DRC pale Kwa Mkapa, Mfungaji wa Congo DRC alikua Fiston Kalala Mayele.
Wazee wa historia nyie kila kitu kwenu ni historia mpaka ubingwa wa Caf champions league.Aliye wafunga Tanzania mwaka 2020 ni nani?
striker alitezidiwa magoli na George mpoleDrc ina ma professional players wengi mno dunia yote hicho ndicho kinachowachanganya baadhi ya wa congo kumuona jamaa wa kawaida lakini si hivyo..
Huyu mwamba angeipata chance aliyeipataga Samatta aston villa hakika tungeongea mengine hapa saa hii
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Nyie mlitakaje?ktk straika wenu tz yote nani anamkuta Fiston mayele?Huo ndiyo ukweli. Transfer kutoka AS Vita inayoshikilia nafasi ya 9 Africa kwenda kwenye Utopolo inayoshikilia nafasi ya 392 inadhihirisha hili jamaa amekuwa dhaifu kupindukia
Kijana wa Geita Gold George MpoleNyie mlitakaje?ktk straika wenu tz yote nani anamkuta Fiston mayele?
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Caf champion league group stage msimu 2019/20 akiwa na AS Vita Fiston Kalala Mayele anawafunga JS Kabile goli dk 70Tuwekee goli la mayele la kimataifa hapa ili mada yako iwe vizuri iendane na uhalisia.
Kweli manara na kikwete ndo wenye akili mi nimekwambia goli la mayele akiwa yanga.Caf champion league group stage msimu 2019/20 akiwa na AS Vita Fiston Kalala Mayele anawafunga JS Kabile goli dk 70
Msimu 2020/2021 anawa wafunga Young buffalo goli 2 katika group stage anawafunga El Melek ya Sudani goli 1 Sasa unahitaji Nini kingine.
Kawafunga Simba kwenye Ngao ya JamiiKweli manara na kikwete ndo wenye akili mi nimekwambia goli la mayele akiwa yanga.
Watabisha hata na hii.Kijana wa Geita Gold George Mpole
Thubutu!...kile kiatu cha kutengenezewa?yupo wapi sasa?ameshidwa isaidia taifa stars..Kijana wa Geita Gold George Mpole