Namshangaa sana mtu anayekwenda Hospital kupima vitu hivi

eti hupimi kwa sababu hakuna tiba
eti DNA ya nini
Maneno ya mkosaji hayo
Lakini hapo kwenye jisnia ya mtoto.... Mhhhhh. hapo naona uko sahihi kabisa. hata Mungu hapendi
Nimemshangaa mtoa post.. labda yamemkuta anajifariji ki style
 
Na utashangaa sana! ndio maana mnaibiwa mchanga as if mlikua hamjui wakati mlikua mnasaini mikataba japo mliambiwa lakini mkajidai hamuelewi, alafu sasa ivi mnajidai mnauchungu na nchi mbaaaafu!
Jamaa punguza hasira
 
Back
Top Bottom