Nampenda sana

Hebu rudia kusoma ulichokiandika, halafu ukae chini ujishauri mwenyewe na limuandiko lako kama chekechea😃
Ila kama hawakukubali basi kuna haya labda unayo:
1-una tabia mbaya/chafu
2-Huna pesa hujitumi
3-Yaweza kuwa unajiweza kiuchumi ila kiburi.
Jirekebishe na utoto acha sasa la sivyo utakataliwa maisha, trust me
 

Thanks kwa hilo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…