Pole..Inauma sana ukimpenda mtu asiekujali au asiyeonesha efforts za kukupenda even half way through!!I know what your going through...Jaribu kumsahau najua unaweza..Fanya mambo mengine jichanganye na watu jikeep busy!!!
Bora huyo mkweli ndugu yangu kuliko pretender yaani anakurahisishia na kukupunguzia maumivu....Ni worse feeling mtu akwambie anakupenda ikisha hamaanishi...ukweli unauma lakini ndio life...You will get over it soon...asante mama ila ongea na wenzako kidogo ata wapretend...