Nampenda sana huyu

Tunampenda sana Rais wetu mkuu

Wachache wasiompenda Ni wale mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wale wenye vyeti feki

Mungu ibariki Tanzania,
Mungu mbariki Rais Magufuli
 
Kiukweli rais pombe magufuri nampenda sana hivyo ninapoona watu wana muzungumzia tofauti na mtazamo wangu nahic hasira sana sielewi ni kwa Nini?
Asitangulie kulee..kabla ya kumwomba msamaha mh. lissu
 
Kiukweli rais pombe magufuri nampenda sana hivyo ninapoona watu wana muzungumzia tofauti na mtazamo wangu nahic hasira sana sielewi ni kwa Nini?

Mtu unayempenda sana hata jina lake huwezi kuliandika kwa usahihi? Hata sisi tunaomchukia tunahisi hasira sana na tunashangaa mno inakuwaje kuna watu kama wewe mnampenda mtu aliyejaa chuki kiasi kile?
 
Kiukweli Rais Pombe Magufuli nampenda sana hivyo ninapoona watu wana muzungumzia tofauti na mtazamo wangu nahisi hasira sana sielewi ni kwa Nini?
Kwa sababu una maslahi nae ila kwa waliopitiwa ndo hawataki kabisa kumsikia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…