nimechafukwa
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 290
- 237
ni miaka mitatu sasa nimejaribu ku control hisia zangu lakini nimeshindwa...nifanyeje?...rafiki wa demu wangu atanionaje...na je demu wangu niliyemuahidi ndoa itakuaje?...this is killing me...plz nipeni ushauri msinitukane haitasaidia
ndiyo maana naenda peke yangu.... nikuulizwa rafiki utawajua tu .... nakufa na kitanzi peke yangu
duh
inaelekea huyu dem wako ulikurupuka kuwa nae ndio maana hisia zimehamia kwa rafikie
nachoona ni kaa mbali na huyo rafiki wa dem wako kwani OUT OF MY SIDE OUT OF MY MIND and BEHIND MY SIDE IS BEHIND MY MIND
ndo maana sina mafark wa kike naogopaga mambo kama hayo