wewe endelea kumpenda tu.sasa sijui hapo yupi ni spare tyre,wewe au mwenzio
Mwenzangu ana mke tayari
mkuu mzabzab asisahau pia kujiuliza swali la tupo wangapi akiachilia mbali huyo ex.
mkuu mzabzab asisahau pia kujiuliza swali la tupo wangapi akiachilia mbali huyo ex.
Wakuu nina mpenzi wangu nampenda sana lakini huwa ananicheat na kusex na ex wake ambae wanafanya nae kazi ofisi moja na kila nikimuuliza anakataa na kujifanya kununa hali inayosababisha kila wiki tugombane.Nimemvumilia vya kutosha nampenda sana ila nashindwa kuvumilia kumegewa na jamaa.Nisaidieni ushauri please
Kweli uanaume mwingine kaaazi!
.. unajua mtu anakumegea na bado upo tuuuu.. damn! Kwani hiyo nonino yake ni gold!