Mwana jf naombee mnishaur, mm nikijana ambae nilijiunga na jesh la jkt kwb upande wa kujitoleo. Naingia jeshini,ktk intec yetu tuliunganishwa na vijana wenyetu wa mujibu wa sheria, kipindi mafunzo yanaendelea,nilitokea kumpenda mschana mmoja wa wa mujibu. Nayeye pia alinielewa. Sasa shida inakuja mm ni mtoto wa uswar na kimwönekano yule bnt ni wakishua. Kwanza kupika hajui,kuosha vyombo shida, kifupi hakuna kaz amboyo anaweza kama kama mwanke, yeye ni move, akichoka Kulala kilakitu bek 3. Kiukwel nampenda lakini nahic sita mueza mnishaur naweza kuish mtu kama huyu!
.....1
...Mm nikijana ambae nilijiunga na jesh la jkt...
...kipindi mafunzo yanaendelea,nilitokea kumpenda mschana mmoja...
...
....2
kimwönekano yule bnt ni wakishua. Kwanza kupika hajui,kuosha vyombo shida, kifupi hakuna kaz amboyo anaweza kama kama mwanke, yeye ni move, akichoka Kulala kilakitu bek 3. Kiukwel nampenda lakini nahic sita mueza mnishaur naweza kuish mtu kama huyu!
....1
Hivi mkiwa mafunzoni mnakua na hisia za kupenda? Au short course hiyo?
Khaaa! Si bure!!!!!!
Afu mtoto (ke) wa kiushua akajiunge Jeshi???????!
...
....2
Tafuta mwanamke mwengine!
Kwanini asiweze kwani huyo beki 3 alizaliwa akiweza kila kitu..Sidhani hio ni sababu makini ya kuachana nae..Unampenda mfundishe!!!Ataweza tu na atajifunza...
Huko jeshini mlikuwa mnapika, kuangalia movie na wengine wakawa na beki 3?Mwana jf naombee mnishauri,
Mimi nikijana ambae nilijiunga na Jeshi la JKT kwa upande wa kujitolea. Naingia jeshini, ktk intec yetu tuliunganishwa na vijana wenzetu kwa mujibu wa sheria, kipindi mafunzo yanaendelea, nilitokea kumpenda mschana mmoja wa wa mujibu. Nayeye pia alinielewa.
Sasa shida inakuja mm ni mtoto wa uswazi na kimwönekano yule binti ni wakishua. Kwanza kupika hajui, kuosha vyombo shida, kifupi hakuna kazi amboyo anaweza kama kama mwanke, yeye ni move, akichoka Kulala kilakitu bek 3.
Kiukwel nampenda lakini nahic sita mueza mnishaur naweza kuish mtu kama huyu!
Siri moja mwanamke akimpenda mwanaume watafanya kila wanaloweza ambalo liko kwenye uwezo wao kumfurahisha huyo mwenzi wake!!Kwahio kujifunza hapo ni cha mtoto kabisaa...Je yuko tayari kujifunza!!!!!!!!!
sio movie according to him ni moveHuko jeshini mlikuwa mnapika, kuangalia movie na wengine wakawa na beki 3?