Usiusemee moyo,mwambie lakini kwanza jipange na roho yako,na uwe tayari nalolote,inawezekana kua kaoa, aanaweza kua na mchumba,inawezekana pia akawa sio mwanamme kamilii,sasa basi piga Moyo konde eleza lako la rohoni,kohoa utema ulokua nalo useme......