Nampenda ananipenda lakini simwamini!

kimondocheusi

Member
Joined
Feb 17, 2017
Posts
6
Reaction score
4
ninamsichana m1 nampenda na anaonyesha kunipenda lakni nligundua ana mchepuko(mwanaume) ambae alikuwa nae kabla sijawa nae(yan ex) kimahusiano lakni baada ya kugundua wakaachana ili abaki na mimi pia namjali na ananijali ila simwamini sana pia anabadilika badilika (kigeu geu) ndugu zake wananijua vzuri ila ni mtu mwenye hasira kwa vitu vidogo mfano ukimwambia akupigie ananunua MB ili tuchat watsapp --->huyu atakuwa ananipenda kwelii na nitamtafsiri kama mwanamke wa aina gani
 
Haaaaaa wewe unaonaje. Kwanza y umfanye mwenzio amuache kipenz wake wa mwanzo?
 
Hayo maswali yako mawili wewe ndiyo unamajibu.

Ushahuri wangu hauna haja yakuwa na mtu usiyemwamini, hutakuwa na amani.
 
Tunashukuru kwa taarifa, lakini mapenzi si mambo ya watu wawili?nahisi ukiyaleta kwenye jamii basi hiyo inakua tamthilia.
 
mtafsiri kama jike shupa....thread nyingine bana!!
 
Na wewe sijui ni mwanaume wa wapi,unamwambia mwanamke akupigie badla ya wewe umpigie?,grow up basi na wewe
 
Kenya commercial bank walitangaza kweli idadi ya pesa walizopoteza kupitia cyber crime,,, they were afraid of losing confidence from their clients thats why they hesitated
 
Na wewe sijui ni mwanaume wa wapi,unamwambia mwanamke akupigie badla ya wewe umpigie?,grow up basi na wewe
Kwani kipi cha ajabu kuhusu mwanaume kumwambia mwanamke ampigie??

We nae sijui wa wapi asee
Acha mambo ambayo yapo outdated basi
 

Hapo kuna utata na maswali mengi ya kujiuliza tena kwa kina [Sitaki nipachimbue hapo kwa kina naweza kuharibu Mahusiano yako], ila nikuambie Usilalamike saana kwa sababu yawezekana huyo denti alikuhurumia jinsi ulivyokuwa unateseka kumpigipigia simu au kutuma sms coz siku zote Wanawake huwa wanajitoa Sadaka kwa Wanaume!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…