Mr.creative
JF-Expert Member
- Aug 8, 2011
- 492
- 117
Hello Jf
naomba anyefahamu jinsi ya kutumia simu iwe kama modem anijuze mimi na members wengine.
Nawasilisha
wireless inakuwaje mkuu..... mana napenda hayo maujuziunaweza kutumia wireless kama computer yako ina wireless!
wireless inakuwaje mkuu..... mana napenda hayo maujuzi
Hello Jf
naomba anyefahamu jinsi ya kutumia simu iwe kama modem anijuze mimi na members wengine.
Nawasilisha
Hello Jf
naomba anyefahamu jinsi ya kutumia simu iwe kama modem anijuze mimi na members wengine.
Nawasilisha
mi pc yangu haina bluetooth..... ila ni wireless... nielekeze vema mkuu...hyo settings ipi?Nenda ktk setting chagua hotspot tethering weka on, kisha washa wireless ya laptop yako kisha utaiona hiyo tecno yako uta connect. kama hauna wireless kanunue device au tumia usb au blue tooth.
si ununue modem mkuu upate internet ya uhakika kuliko kujipa tabu!
kwan kajipa wapi taabu??? kama anayo na anataka kujua jinsi ya kutumia simu kama modem??si ununue modem mkuu upate internet ya uhakika kuliko kujipa tabu!
Nunua connectivity cable, halafu download Nokia suite.
si ununue modem mkuu upate internet ya uhakika kuliko kujipa tabu!
unatumia simu gani......?
nokia c3