utukufu mwanjisi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2017
- 2,846
- 2,512
asante mkuuIngia Youtube.Jifunze
ila YouTube wanakuchagulia unataka kutumia program ipi. ..so ipi nzuri kuitumia?Ingia Youtube.Jifunze
nashukuru mkuu ila nikihitaj ujuzi zaid nitakuchek hata kwa kuchangia maji ya kunywaUnawesa kutumia kati ya photoshop , illustrator au indesign.... mimi huwa natumia indesign zaidi ..hasa kutengenezea magazeti
Mkuu tafta Adobe Photoshop,na Adobe InDesignwakuu nahitaji njia za kupitia kujifunza namna ya kutengeneza banners brochures na posters mana ofisin kwangu kuna printers na mwenyew namiliki laptop pia kuna desktop za ofisin sasa huwa napenda kujua vingi katika maisha yangu nikaona hili lisinipite
pia nahitajika kuwa na programme ipi kati ya hizi adobe photoshop, Microsoft Excel, Microsoft Word au ipi yoyote
mkuu niunganishe na dogo yoyote mzuri nitamlipa hela kidogo kwa hizo programe mbili mana nahitaji ani brush juu juu katika kutengeneza hizo vituMkuu tafta Adobe Photoshop,na Adobe InDesign
Mimi mwenyewe mkuu, 0759667870,0672810312niunganishe na mtu anaejua hizi programe haraf nitamlipa hela kidogo kwa programe moja moja
oke mkuu nai save namba zakoMimi mwenyewe mkuu, 0759667870,0672810312
KWA YEYOTE ANAEMFAHAMU MTU ANAEWEZA KUNIFUNDISHA HIZI PROGRAME TATU KWA JUU JUU TU VINGINE NITAPIGANA NAVYO MIMI ANIUNGANISHE NAE
shukran mkuuUmeshauriwa pia uende youtube.. ukiwa mjuzi wa kusechi humo utaanza kupata kujua inakuwaje.. hata kabla ya kukutana unayemtafuta wa kukufundisha.
Haya mambo yanahitaji sana mtu uwe wa kujiongeza mwenyewe pia