njia pekee ni kutokua kwenye sehemu ya tukio in the first place, mkiambiwa msiandamane au msifanye mikutano basi mnaacha coz hapa sio ulaya..ulaya unabishana na polisi lakini hakugusi kwa sababu haki za binadamu zinafuatiliwa..hapa bongo ni kama vile uko syria, afghanistan,china,russia....hakuna haki za binadamu hapa
GT, naombeni msaada na tueleweshe jamii ni namna gani utajilinda ama uta-behave unapakabiliana na polisi. Nimeleta uzi huu kutokana na orodha ndefu ya raia wliouawa na polisi bila hatia yoyote na jeshia polisi na serikali haielekei kutafuta namna ya kumaliza tatizo hili. Tazama orodha ya wahanga(japo sikumbuki majina)
wafnayabiashara ya madini wa mahenge waliuliwa katika msitu wa pande.
Daudi mwangosi.
Kijana -tav driver wa kurasini aliyeitwa katika kituo cha polisi cha chang'ombe na kufariki hapohapo kituoni baada ya dakika chache aihojiwa.
Kasulu
vijana wawili waliokuwa wakinunua mafuta katika kituo cha mafuta kule arusha kisha polisi kuja na kuwamiminia risasi.
Na wengine wengi.
Kutokana na hali hii, huwezi kujua who is next?!, hivyo basi tufundishane ni namna gani utaepuka kuuwa na polisi mara akidhamiria kufanya hivyo.
Nawasilisha.
Njia nzuri sana ni kuwaelimisha polisi wasifuate matakwa ya vyama bali wafuate sheria na asifuata sheria sheria imhukumu sawa-sawa na mhalifu mwingine na wasimlinde-linde kama walivyokuwa wanamficha-ficha yule muuaji wa Mwangosi.
Duh!! Yaani jamaa wanadedishwa?? Ile falsafa ya jino kwa jino!!Zenj polisi hanakibri hata siku moja! hata akija kukamata mtu anaomuomba kwanza. Vinginevyo labuda hasiwe anakaa mtaani na hasitembee peke yake! hapa bongo tunawalea wakati wengine tunawapangisha nyumba zetu mtaani!
Ni kuchukulia kila polisi ni juha ila amepewa bunduki" TAHADHARI.
Wachache waliokufa naamini ni bahati mbaya. Kwa tulio baki dawa ni kufuata sheria za nchi.
Near by Mbozi Mbeya.