George Kahangwa
JF-Expert Member
- Oct 18, 2007
- 547
- 148
Namna kuisaidia Tanzania kikwelikweli!
1. Futa bunge kwa miaka ishirini...utakuwa ume-save pesa nyingi sana kama malipo ya wabunge, posho, uchaguzi hizo pesa zote ambazo zingetumika huko ...jenga vyuo vikuu kila mkoa (full walimu, majengo nk)...
2. Futa vyeo DC, Manaibu Waziri, Waziri (Katibu mkuu tu anatosha wizarani), wizara 11 zinazoongozwa na makatibu wakuu...pesa utazo kuwa ume-save hapo boresha mafao ya wafanyakazi watanzania hasa wa serikalini kuongeze morally kazini
3. Wizara ya Barabara ianzishwe ndani ya miaka ishirini nchi iwe na barabara zinazounganisha mikoa, wilaya, na kata zote kwa lami (kwa kutumia hela za ndani (TRA)
4. Hakuna uchaguzi wa Rais kwa miaka 20 isipokuwa uchaguzi wa serikali za mitaa basi ...anzisha kitengo cha monotoring (say PCCB) kuangalia pesa ziendazo mikoa, wilaya na kata zinawafikia walengwa ...My thought.
China hakuna chaguzi je hakuna demokrasia? hakuna maendeleo na maisha mazuri?Demokrasia ni dhana tu.Tumefaidika nini na demokrasia umaskini? Bila wabunge serikali haiwezi kufahamu wapi hakuna barabara, maji, umeme, hospital nk?. wabunge wanakula bure fedha za wananchi. Mimi hadi leo sijawahi kupata huduma za mbuge. Wenyeviti wa mitaa na vijiji tosha kabisa. Nakuunga mkono siasa ni kupoteza tu rasilimali ya nchi.Utajibu vipi maswali ya wanademokrasia, kwa kuendesha nchi bila bunge kabisa na kwa kutokuwa na chaguzi?
Wanademokrasia watusubiri mpaka baada ya miaka 20, wakati kuna resources za kuwalipa na watu walioosoma ili wasiwadanganye...ntawaambia please wait I have a mission.Utajibu vipi maswali ya wanademokrasia, kwa kuendesha nchi bila bunge kabisa na kwa kutokuwa na chaguzi?
Wanademokrasia watusubiri mpaka baada ya miaka 20, wakati kuna resources za kuwalipa na watu walioosoma ili wasiwadanganye...ntawaambia please wait I have a mission.
Mh kweli its your thoughts!Namna kuisaidia Tanzania kikwelikweli!
1. Futa bunge kwa miaka ishirini...utakuwa ume-save pesa nyingi sana kama malipo ya wabunge, posho, uchaguzi hizo pesa zote ambazo zingetumika huko ...jenga vyuo vikuu kila mkoa (full walimu, majengo nk)...
2. Futa vyeo DC, Manaibu Waziri, Waziri (Katibu mkuu tu anatosha wizarani), wizara 11 zinazoongozwa na makatibu wakuu...pesa utazo kuwa ume-save hapo boresha mafao ya wafanyakazi watanzania hasa wa serikalini kuongeze morally kazini
3. Wizara ya Barabara ianzishwe ndani ya miaka ishirini nchi iwe na barabara zinazounganisha mikoa, wilaya, na kata zote kwa lami (kwa kutumia hela za ndani (TRA)
4. Hakuna uchaguzi wa Rais kwa miaka 20 isipokuwa uchaguzi wa serikali za mitaa basi ...anzisha kitengo cha monotoring (say PCCB) kuangalia pesa ziendazo mikoa, wilaya na kata zinawafikia walengwa ...My thought.
Mawazo yangu binafsi: kabla hatujaanza kuangalia wanao tutawala labda ni vyema tukaangalia sisi wenyewe tufanye nini.
1. Niwe mfuata sheria.
2. Lipa kodi ambazo ninatakiwa kulipa
3. Tuache tabia zakutafuta njia za mkato (k.m. vyeti feki, lesseni za biashara feki, ...)
4. Tuwe na fikra za uzalendo na sio by default kufikiria deals....
5. Tuwe na akili za kujituma na sio kalalamika juu ya matatizo
6. tuwe wachapa kazi
Hayo tuu yataweza leta mabadiliko tunayoyahitaji... then labda tunaweza hold viongozi wetu accountable...
Nawasilisha....
Mkuu Skasuku,
Kama ningeambiwa niipe hoja yako heading, ningesema UADILIFU. Basi kumbe namna nyingine ya kuisaidia Tanzania ni kujenga uadilifu miongoni mwa raia, raia wapi lakini.. hiki kizazi kilichokwisha kubuhu katika kutenda kinyume na uliyoyataja, au tuelekeze ukunjaji katika samaki wabichi (mashuleni)?