Login in ur router, filter the Mac address. Since u know their ip address then just block em. Easy like pie.
Thanks mkuu. Nimefanikiwa. Hii si fani yangu, hapa pa kuallow/deny access nilikua napapita kila siku nikibadili password lakini wazo halikunijia. Nimetest kwanza simu yangu, nimeiblock ikakubali then nika unblock. Unatumia MAC address sio IP address
Asante sana mkuu
Yaani jf ni balaa. Tatizo langu la mda mrefu limeisha kirahiiiiisi! Imagine hata isp wetu wameshindwa kutusaidia
Kazi yake ni ku provd internet kwako sio maswala ya security hiyo ni kesi nyengine mkuu it kubwa sana kuliko unavyofikiri kila mtu na kitengo chake kuna security,database,network, etc
Lakini lazima wajue namna ya kuwashauri wateja wao ili wanufaike na huduma yao, hata kwa extra charges.
Ndugu hao ISP is made up of people amabao ufahamu wao unatofautiana,tunarudi kulekule ISP ataajiri watu kwa pesa kidogo,so usitegemee wajue mambo kiundani.Lakini pia kuna weakness hapo kwenu umesema wewe si IT,is like the company ni dogo au hawaoni umuhimu wa kuwa na mtaalam wa IT.Yaani jf ni balaa. Tatizo langu la mda mrefu limeisha kirahiiiiisi! Imagine hata isp wetu wameshindwa kutusaidia
Ndugu hao ISP is made up of people amabao ufahamu wao unatofautiana,tunarudi kulekule ISP ataajiri watu kwa pesa kidogo,so usitegemee wajue mambo kiundani.Lakini pia kuna weakness hapo kwenu umesema wewe si IT,is like the company ni dogo au hawaoni umuhimu wa kuwa na mtaalam wa IT.
Huyo anayetoa password I thought ameshafukuzwa kazi kumbe bado yupo,hiyo anayotoa ni confidential information na anaipa kampuni hasara nashangaa kwa nini bado yupo.Anyway inategemea na sera za kampuni yenu zikoje only kama zipo.
Whois on my wifi ni nzuri kwa kumonitor intruders,je jamaa wakija na laptop zingine?Au waki tumia MAC address fake wataingia.Security inaanza na phisical security hao jamaa mmeshindwa kuwafuata physically na huyo anayewapa password memhoji au mnamuacha aendelee,leo katoa password za network kesho atasema kama kuna mamilioni yapo hapo ofisini.
Kama unaweza ni pm details za hiyo router,model na brand yake.
Ok,najua liko solved ila huoni kama muda ambao ungeutumia kufanya kazi unautumia kuingiza mac address ili uziblock,pole najaribu kufikiria unaweza fanyaje ili ujipunguzie kazi ya kublock watu.Ningeweza kusema ubind mac address za user sahihi kama hiyo option ipo this way hautahangaika na kumonitor watu isipokuwa utatakiwa kila mtu mpya uingize mac address yake na najua baada ya muda inawezekana mac address zikajaa ukatakiwa ufute baadhi.Mkuu, tatizo langu limeshamalizwa na mchangiaji wa kwanza. Kwa sasa natumia who's on my wifi kutrace MAC address za watumiaji. Zenye mashaka nazo tunafungia kwa kulog in kwenye router, sio kutumia who's on my wifi. So far it works
Ofisi yetu ni mgahawa mdogo ambako akija mteja kunywa chai anapewa password. Kwa hiyo waiters wote wanaijua, na hao ndio wanayoitoa kwa rafiki zao. Si rahisi sana kujua ni nani. Kwa udogo wa ofisi si rahisi kuajiri mtu wa IT. It's kind of a one man show - finance, HR etc all done by same person