Ni rahisi ila inachukua muda ..kwanza unatakiwa uwe na iphone 4s nakuendelea,ambayo iko jail stil yenye whatsapp pili uwe na pc yenye latest itune na ifunny box ,then utacopy whatsapp kwenye pc yako ukitumia ifunny box kutoka kwenye iphone,then disconnect i phone, kisha connect ipad yako kisha install iyo whatsapp ambayo ipo kwenye pc yako..me nimefanya ivyo adi sasa natumia whatsapp kwenye ipad 3.