Naomba Mwenye uelewa jinsi ya ku-block SMS zinazoingia kwenye sim bila Namba ...
Kwa mfano Alert za polisi, mtumaji husomeka POLISI bila Namba kuonekana
Ninachohitaji sasa hapa "Ni Jinsi ya Ku-Block sms" maana kuna watu Wanatumia mtindo huo kutuma SMS kwa watu ambazo hazina maadili kabisa
Karibu kwa Mwenye ujuzi
Sent using
Jamii Forums mobile app