mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,539 Reaction score 138,493 Sep 21, 2022 #1 Wenzetu kwenye masuala ya nchi zao Hawaleani au kuendekezana! Hata kama ulikuwa fulani utashulikiwa Uzi tayari Ova
Wenzetu kwenye masuala ya nchi zao Hawaleani au kuendekezana! Hata kama ulikuwa fulani utashulikiwa Uzi tayari Ova
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,495 Reaction score 100,905 Sep 21, 2022 #2 Huku unaulizwa kama una kadi ya CCM na kama unachangia chama, rejea jamaa aliyekamatwa na bunduki za kutosha huko mkoani
Huku unaulizwa kama una kadi ya CCM na kama unachangia chama, rejea jamaa aliyekamatwa na bunduki za kutosha huko mkoani
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 61,235 Reaction score 98,464 Sep 21, 2022 #3 Elli said: Huku unaulizwa kama una kadi ya CCM na kama unachangia chama, rejea jamaa aliyekamatwa na bunduki za kutosha huko mkoani Click to expand... Yule aliyekuwa Mbunge wa MCC KiShaPu huko Nchini Puerto?.😁 Aliyesamehewa na Mungafuli.
Elli said: Huku unaulizwa kama una kadi ya CCM na kama unachangia chama, rejea jamaa aliyekamatwa na bunduki za kutosha huko mkoani Click to expand... Yule aliyekuwa Mbunge wa MCC KiShaPu huko Nchini Puerto?.😁 Aliyesamehewa na Mungafuli.
MUTUYAMUNGU JF-Expert Member Joined Jan 25, 2014 Posts 1,824 Reaction score 4,385 Sep 21, 2022 #4 Trump atalimia meno
Underwood JF-Expert Member Joined Dec 25, 2020 Posts 1,908 Reaction score 3,136 Sep 21, 2022 #5 Kama wana kiburi wamfanyie prosecution kuhusiana na January 6
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 65,253 Reaction score 111,996 Sep 21, 2022 #6 Huko hawafanyi kazi kutokana na kiburi bali weledi wa hali ya juu. Underwood said: Kama wana kiburi wamfanyie prosecution kuhusiana na January 6 Click to expand...
Huko hawafanyi kazi kutokana na kiburi bali weledi wa hali ya juu. Underwood said: Kama wana kiburi wamfanyie prosecution kuhusiana na January 6 Click to expand...
Mwl Athumani Ramadhani JF-Expert Member Joined Sep 10, 2022 Posts 1,279 Reaction score 2,526 Sep 21, 2022 #7 NDIO Maana Tunalia na Katiba Mpya mkuu!!
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,495 Reaction score 100,905 Sep 21, 2022 #8 imhotep said: Yule aliyekuwa Mbunge wa MCC KiShaPu huko Nchini Puerto?.😁 Aliyesamehewa na Mungafuli. Click to expand... Hahaha
imhotep said: Yule aliyekuwa Mbunge wa MCC KiShaPu huko Nchini Puerto?.😁 Aliyesamehewa na Mungafuli. Click to expand... Hahaha
Rhz4567 JF-Expert Member Joined Mar 16, 2018 Posts 5,383 Reaction score 7,435 Sep 21, 2022 #9 Huku kwetu wakina bashite wanatamba mtaani