Namkumbuka lakini simtamani

Ameikariri mbona

Sent from my iPhone using JamiiForums
Itakuwa kweli aisee mkuu. Maana hawa viumbe siku hizi hawahifadhi namba za michepu kwenye simu. Utakaa unachunguza simu kutwa kucha hukuti chochote. Na sms zote zikiingia tu wanabonya 'delete'. Hahahahaaaa
 
Mmmh.sio kwel sna namba ake mm
 
We bado unampenda ...!!
 
Kwa hauja pata mwingine mimi nipo
 
U
Uyo alikuwa anakupenda sana....kiasi roho inamruka anahisi unaibiwa.....ukiona mtu hana tym usifurahie jua u have no value

Umepoteza wiseman
 
Aagha wapi. Too much is harmful
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…