Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,217
- 3,125
kaka ni aje tena? mbona unapeperusha stimu? tangazo kaa halikusu unasepa tu, sio kila kitu ni siasa.Wewe si ndo unaonyesha alama ya FILIMASONI kwenye avatar yako,hebu toa diskripshen ya affiliation yako kwenye hii jamii!
Usihofu kaka.Kila la kheri yahe. Ila angalizo, usidanganywe na avatar. Nlishaingia mkenge nikakutana na bonge la bibi. Khaa! Swahiba wangu klorokwini alijikuta anadeti na shoga la Magomeni.
acha longolongo, kaa inahusu fanya mambo..teh teh wewe nawe
hujaona sherti #3? nyie ndo mnaokuaga wa mwisho dasarani...Yakhe sasa mwezi ulioisha uji kakupikia nani? Ulikuwa na matamanio mwezi mzima?
kaka ni aje tena? mbona unapeperusha stimu? tangazo kaa halikusu unasepa tu, sio kila kitu ni siasa.
hata kama unataka kuongeza idadi ya posts uwe unachagua nyuzi mazee..sasa hiki ndio nini?sapiosexual wow, someone has an evil past. You must be looking for someone who will understand your past adventures. Life is sweet. Good luck.
hata kama unataka kuongeza idadi ya posts uwe unachagua nyuzi mazee..sasa hiki ndio nini?
aisee, nimeshaanza kukusanya maombi nikitazama kasi ya uletaji nitatangaza mwisho wa validity ya hii offer. Mtu mwene mtazamo wa kutafuta mwendesha Hammer nadhani hili bandiko halimuhusu kwa sababu ni wazi hana sifa zinazotakikana.Hahahah jaribu kutumia google translator lol. Arif videm bado havijaibuka? Jaribu kuvidanganya unaendesha Hammer la 2012. Vishori vya cku hizi bila uongo na kujifagilia kiaina vinajifanya kupotezea.
Bado unatafuta au umesha pata? I am interested.
Wasifu wangu:
1. Kijana wa kiume
2. Miaka 33
3. The ultimate & most eligible bachelor in JF
4. Wasifu wa ziada kuhusu mengine mnaeza kuzipata kupitia mabandiko na nyuzi hapa JF
Kwa haya machache if this sounds really exciting to you, then drop me a line or few in my very own PM or at
abdulhaleemalmasih@yahoo.com
Wabillah tawfiq
Dullah One.
Kati ya yote ulioongea hilo lililoekwa rangi tofauti ndio la msingi na linahusu uzi huu.Bado unatafuta au umesha pata? I am interested.
Mi nina sifa zote unazo hitaji kasoro moja (nitaisema PM)
ila nina wasiwasi na hapo in bold: ni auto-proclaimed?
Nimesha tuma PM ya kuonesha how smart I amKati ya yote ulioongea hilo lililoekwa rangi tofauti ndio la msingi na linahusu uzi huu.
Bi. Mwali nasubiri PM yako, nafasi iko wazi bado pengine ww ndo utafunga duka! (niko very serious).
Babu hao wakwako unawatafutia baa au?Hahahah jaribu kutumia google translator lol. Arif videm bado havijaibuka? Jaribu kuvidanganya unaendesha Hammer la 2012. Vishori vya cku hizi bila uongo na kujifagilia kiaina vinajifanya kupotezea.
Bi. Mwali uneonesha vile vitu ninaexpect sana, nimesoma nanihii yako na umeona ume-like kule kwingine / you must be sheikh Yahaya descendant maana ile nanihii inakuhusu! i guess sasaivi unajiskia UJIKO SANA. anyways liwale na liwe! nitananihii ile nanihii when I'm free.Nimesha tuma PM ya kuonesha how smart I am
Si mwenyewe umesema we should act smart?
Mi nimeelewa we can pretend to be smart.:A S-omg:
Matokeo lini?