Namba za Simu Chooni

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
Kuna mtindo mpya umeibuka ambapo kuna watu wanaandika namba za simu kwenye kuta za vyoo na hasa vyoo vya haja ndogo kwa wanaumena hususan kwenye BAA

Maana yake nini?
 
Maana yake ikihitaji huduma nyingine ya choo piga.
 
Iyo namba ni ya huduma kwa wateja ukizidiwa choon upige iyo namba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…