Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,554
- 2,160
tusker mambo vipi? mia
Freema Agyeman unanishangaza chuki gani nimeionesha? NIMEPENDA kuwataadharisha wanaotaka kusajili magari kwa sasa waache mpaka No.hizo zipite... Zinatia KINYAA SANA!
una chuki ila hujui kama unayo. Kama huamini rudia kusoma uliyoandika kwenye ktk uzi.huu. Kama msaada zaidi utapauta kwa mshauri nasaha.
Siasa si chuki.
Vipi ikifika CUF
Habari za masiku wana JF? kwa mwana JF mwenye mapenzi mema na Tanzania taarifa hii si ya kupuuza! endapo unataka kusajili No.ya chombo cha motoitakubidi usubiri kwa muda hadi No. hizi zenye historia ya chama kilichotufikisha hapa tulipo ziishe ina maana mpaka vyombo 900 visajiliwe!!! kwani No.za usajili zimefikia T xxx CCM. utakujashindwa kuliuza/kuendesha au laweza kukuletea MATATIZO! SHIME SHIME TUZIGOMEE No.hizo!