Wanajamii folum acheni masihala nyie amjui mwenzenu ana shida gani labda anaitaji msaada wa kisheria katika mambo ya msingi nyie mnafanya utani wengine wana matatizo makubwa sana . Sasa kama wewe unatoa namba za utani kama auna si ungepita tu kimya kimya