Naona makolo jinsi yanavyo bwabwaja humu ndani, mafanikio ya mpira wa miguu ni vikombe tu na sio kingine
Je, mpk sasa una kombe lolote la mashindano ya Africa?
Na vilevile mpk sasa Yanga ana kuzidi makombe ya ligi kuu Tanzania Bara
Oooh! Nafanya vzr kimataifa, hahahaha kufanya vzr kimataifa nikupata makombe tu na sio kingine na hizo blah blah za kuingia sijui makundi, sijui nini,timu kibao tu zipo hatua hizo, ila aliyepata mafaniko ni yule aliyechukua kombe hilo
Nyie makolo ebu acheni Uzezeta wenu wa kihindi, coz inajulikana vibaraka wa wahindi wote hawana akili, Nyambafu nyie!