W wangonda New Member Joined Jun 10, 2021 Posts 2 Reaction score 3 Jun 11, 2021 #1 Habari WanaJF Mimi ni mwanamke wa miaka 32 na Nina mtoto mmoja. Nimekuja jukwaa hili mahusi kutafuta mwanaume aliye single na yuko matured kujenga familia. Awe na miaka 33 na kuendelea na awe mkristo, akiwa na mtoto itapendeza zaidi. Awe muwazi na mkweli. Awe na shughuli ya kumpa kipato halali. Kama una sifa hizo karibu sana PM.
Habari WanaJF Mimi ni mwanamke wa miaka 32 na Nina mtoto mmoja. Nimekuja jukwaa hili mahusi kutafuta mwanaume aliye single na yuko matured kujenga familia. Awe na miaka 33 na kuendelea na awe mkristo, akiwa na mtoto itapendeza zaidi. Awe muwazi na mkweli. Awe na shughuli ya kumpa kipato halali. Kama una sifa hizo karibu sana PM.
stephot JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 17,746 Reaction score 27,214 Jun 11, 2021 #2 Kila la kheri...
expedition JF-Expert Member Joined Jul 16, 2016 Posts 943 Reaction score 3,021 Jun 11, 2021 #3 Nna 31 ila niko matured zaidi ya hao 33, vipi unaweza nikubalia?
M Mgoda simtwange Senior Member Joined Sep 7, 2012 Posts 168 Reaction score 64 Jun 11, 2021 #4 Njoo inbox
Uchira 1 JF-Expert Member Joined Oct 9, 2017 Posts 6,016 Reaction score 8,762 Jun 11, 2021 #5 kila la heri
Semahengere JF-Expert Member Joined Nov 29, 2020 Posts 1,185 Reaction score 1,973 Jun 11, 2021 #6 43 years itakufaa? Serious plse
Semahengere JF-Expert Member Joined Nov 29, 2020 Posts 1,185 Reaction score 1,973 Jun 11, 2021 #7 Doon said: Being a Single father is an added advantage. Wakristo hawazalii nje ya ndoa, na wakizalia ndani ya ndoa hawaoi tena. Ukristo kwa maana ya ufuasi, sidhan kama unatafuta Mkristo bali unatafuta Mpinga Kristo. Kila la kheri Mkuu Click to expand... Soma post vizuri acha kukurupuka. Hajasema anataka mchepuko Anataka mtu wa kumuoa wajenge familia
Doon said: Being a Single father is an added advantage. Wakristo hawazalii nje ya ndoa, na wakizalia ndani ya ndoa hawaoi tena. Ukristo kwa maana ya ufuasi, sidhan kama unatafuta Mkristo bali unatafuta Mpinga Kristo. Kila la kheri Mkuu Click to expand... Soma post vizuri acha kukurupuka. Hajasema anataka mchepuko Anataka mtu wa kumuoa wajenge familia
Semahengere JF-Expert Member Joined Nov 29, 2020 Posts 1,185 Reaction score 1,973 Jun 11, 2021 #8 Semahengere said: Soma post vizuri acha kukurupuka kama Chalamila. Hajasema anataka mchepuko Anataka mtu wa kumuoa wajenge familia Click to expand...
Semahengere said: Soma post vizuri acha kukurupuka kama Chalamila. Hajasema anataka mchepuko Anataka mtu wa kumuoa wajenge familia Click to expand...
P peter_intelligent JF-Expert Member Joined Aug 1, 2018 Posts 607 Reaction score 522 Jun 11, 2021 #9 yaan hzo sifa zote ni zangu nadhan maombi yangu yamejibiwa, daaahh mke wangu nimekusubilia kwa mda mrefu sana, ngoja nije huko huko PM tuyajenge,nakupenda sana aiseee daaaahh aliyeanzisha JF abarikiwe sana maana nimeshapata mke,hongera sana admins
yaan hzo sifa zote ni zangu nadhan maombi yangu yamejibiwa, daaahh mke wangu nimekusubilia kwa mda mrefu sana, ngoja nije huko huko PM tuyajenge,nakupenda sana aiseee daaaahh aliyeanzisha JF abarikiwe sana maana nimeshapata mke,hongera sana admins
Mzee Wa Kale Kabisa JF-Expert Member Joined Mar 25, 2018 Posts 2,627 Reaction score 4,343 Jun 11, 2021 #10 Ngoja ni screenshot nikamuonyeshe demu mmoja hivi anaringa ringa sana kuolewa
mwanateknolojia JF-Expert Member Joined Nov 17, 2014 Posts 1,026 Reaction score 1,750 Jun 11, 2021 #11 Come pm am hear!
W wangonda New Member Joined Jun 10, 2021 Posts 2 Reaction score 3 Jun 11, 2021 Thread starter #12 Doon said: Being a Single father is an added advantage. Wakristo hawazalii nje ya ndoa, na wakizalia ndani ya ndoa hawaoi tena. Ukristo kwa maana ya ufuasi, sidhan kama unatafuta Mkristo bali unatafuta Mpinga Kristo. Kila la kheri Mkuu Click to expand... Cha kwanza acha ubinafsi! Mtu aliyewahi kuwa mdhambi akatubu hapaswi hata kujiita mkristo? Ndugu unachokihubiri kipeleke huko huko not on my thread please.By the way what are you benefiting from trash comments? Disgusting!
Doon said: Being a Single father is an added advantage. Wakristo hawazalii nje ya ndoa, na wakizalia ndani ya ndoa hawaoi tena. Ukristo kwa maana ya ufuasi, sidhan kama unatafuta Mkristo bali unatafuta Mpinga Kristo. Kila la kheri Mkuu Click to expand... Cha kwanza acha ubinafsi! Mtu aliyewahi kuwa mdhambi akatubu hapaswi hata kujiita mkristo? Ndugu unachokihubiri kipeleke huko huko not on my thread please.By the way what are you benefiting from trash comments? Disgusting!
S Superb2014 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 10,096 Reaction score 8,199 Jun 12, 2021 #13 Mungu akupe haja ya moyo wako.
Afghanistan JF-Expert Member Joined Dec 18, 2022 Posts 1,306 Reaction score 2,000 Jan 12, 2023 #14 Upo mkoa gani?
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,579 Reaction score 161,430 Jan 12, 2023 #15 wangonda said: Habari WanaJF Mimi ni mwanamke wa miaka 32 na Nina mtoto mmoja. Nimekuja jukwaa hili mahusi kutafuta mwanaume aliye single na yuko matured kujenga familia. Awe na miaka 33 na kuendelea na awe mkristo, akiwa na mtoto itapendeza zaidi. Awe muwazi na mkweli. Awe na shughuli ya kumpa kipato halali. Kama una sifa hizo karibu sana PM. Click to expand... Mungu akupe hitaji la moyo wako
wangonda said: Habari WanaJF Mimi ni mwanamke wa miaka 32 na Nina mtoto mmoja. Nimekuja jukwaa hili mahusi kutafuta mwanaume aliye single na yuko matured kujenga familia. Awe na miaka 33 na kuendelea na awe mkristo, akiwa na mtoto itapendeza zaidi. Awe muwazi na mkweli. Awe na shughuli ya kumpa kipato halali. Kama una sifa hizo karibu sana PM. Click to expand... Mungu akupe hitaji la moyo wako