Endapo kama huyo mdogo wake ni mwanafunzi basi ni wazi hata wao wamechangia kumharibu na kwa umri wa miaka 18 ni wazi kisheria huyo anatakiwa awe na hadhi ya uanafunzi.
Sijui kwanini jamii huiga uzungu na kufanya maadili yashuke kiasi hiki, miaka 18 unampa simu ili awasiliane na nani na kwa sababu zipi za msingi, akiwa bado ni mwanafunzi anapewa kwa sababu kuu ipi yaani.
Huwa mambo mengi tunajitakia wenyewe na nikipata namba zake hata mimi lazima nimkojoze maana walio juu yake ndiyo wameamua kumpa mtaala wa umalaya.
Lakini pia anaweza akawa hajapotea,anaweza akafanikiwa na huyo jamaa mwenye 38 afu akaja kumsaidia huyu single mama anayebwata bwata hapa!Huwa simshauri mtu hadi akutwe na janga, ukiona mtu anapotea acha kumwambia subiri apate janga huko alipokuwa anapaona ni pazuri ili awe na mfano wa kujifunza pale unapokuwa unampa ushauri.
Kujikojolea unaruhusiwa hata ukiwa na miaka 5.Lakini pia anaweza akawa hajapotea,anaweza akafanikiwa na huyo jamaa mwenye 38 afu akaja kumsaidia huyu single mama anayebwata bwata hapa!
MAISHA HAYANA KANUNI,kafikisha miaka 18 sheria inamruhusu kufanya anachojisikia,kikubwa asivunje sheria tu.!
Form 6Hujatuambianhuyo binti jinmwanafunzi, au? Na kama ni mwanafunzi atakiwa level ya A level au certificate/ diploma, kwa umri wake na kama yuko level hizo na keshamaliza form four ni suala la kuongea na kumshauri awe makini, haya mambo mtu akishayaanza, na keshajua kukojozwa, huwezi tena kumzuia bali unachotakiwa ni kumfanyia counselling tu.
Lakini pia huyo binti anakaa na nani, mabinti wengi wanaharibiwa sana na mama/ dada zao, my daughter is 14 eti mama yake alimpa simu, na kuna siku nikaona text anatogozwa, i s very angry to her mum
Kaa naye huyo dogo mpe somo , na huyo kibaka mtafute au mpigie simu halafu si anafamilia yakeForm 6
Mbona fresh tu BAK unataka adate na 20 wavaa mlege wamfanyie uhuni tehBut not ready for a love relationship especially with 38 YO.
Huyu uliyemzungumzia hapa https://r.tapatalk.com/shareLink?ur...share_tid=1578545&share_fid=8678&share_type=tNi msg nimeiona kwenye simu ya mdogo wangu wa kike miaka 18 ameituma kwa rafiki yake wa kiume.
Baada ya kufuatilia aliye tumiwa ni mwanaune wa miaka 38.
Nisaidieni nimshauri vipi huyu dogo?
Watoto wa siku hizi sijui wana mapepo?
ulikuwa watafuta nini humo? unachotakiwa kufanya ni kila wakati kukaa na mdogo wako na kumuelewesha ya dunia ili mwenyewe abadilike ila ukianza kwenda kwa cmu utapata presha!! maana huo ni upele wakati chanzo cha upele hukijui