NAKUMBUKA MBALI

wazirib28

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2015
Posts
460
Reaction score
275
Nakumbuka mbali pindi nikiiangalia hii picha. Inanikumbusha enzi hizo nipo darasa la nne..nilishika nafasi ya kwanza ktk mtihani wa nusu muhula...na zawadi hiyo nilipewa na shule kupitia mwalimu wa taaluma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtu hupewa lifti kwa sababu hana usafiri....sasa wewe sijui ulichaguliwa hiyo zawadi kwa sababu zipi.
Hiyo zawadi ilikuwa imeandaliwa mapema hata kabla mpatiwaji hajajulikana. Ikatokea mm nikashka nafasi ya kwanza. pia zawadi ni zawadi tu...mbona wewe juzi umepewa zawadi ya pesa. Inamaana hukuwa na pesa kabisa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
We utakuwa Wa juzi tu enzi zetu kulikuwa kuna cha VIP
Kusema ukweli mm sio wa zamani saana....hiyo hapo imeandikwa TMK WANAUME.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…