Nakumatt set to take over Shoprite stores in Tanzania

Biashara ya retail Tanzania ni Ngumu sana (clothing, restaurant) kwa supermarket kwa sababu viosk viko kila kona - unlicenced, hawalipi kodi n.k.
Pia purchasing power ya watanzania ni ndogo sana - shoprite anaweza ku-survive MCity tu kwa sababu ni center ya watu wengi. Kuna baadhi ya unique product tutazikosa....

Uchumi wanaweza kuendesha hiyo maana hata kenya wao wanalenga middle class wakati Nakumatt wanalenga upscale shoppers.

Hivi mtu atoke tabata kwenda shoprite kununua mchele/sabuni/sukari wakati mangi anauza hapo nje kwa bei ambayo ni flexible haijaongezwa pango, tax etc.....
 
KARIBUNI KENYANSSSS!! :israel: :israel: SISI NGOJA TUENDELEE KUSHANGAA MISUKULE YA LAMADI, NA KUUA TEMBO, NA UJINGA MWINGINE MWINGIIIIIIIIII!

Ningeshaa kama ungelikaa kimya aisee...

Naunga mkono hoja muhishimiwa spika..

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
hapo ukiona washavuna sana sasa wanakimbia kabla hakija nuka..
 
Dah inauma wakenya wanavyozidi kutake over. .kcb,equity,nic, zuku tv. .na sasa nakumatt daah!
 
Hilo jina unaweza kibongobongo kumwambia mama mkwe wako "twendeni NAKUMAt"
Mmh!
 
Na hili EAC wana-sign sign mikataba, 100% goods from Kenya plus No tax.. Safi sana, wanajua biashara hawa jamaa, mtu kama huyo when it comes to business hua namuappreciate sana, Sawa utataka uuze bidhaa za bongo, zipi sasa?? na zina kiwango kipi?? watu hawaendi shoprite kununua viberiti vya shilingi hamsini, hivyo si bora nijipinde kwa mama wa kitaa ntapata hata kwa negotiation iwe shilingi arobaini
 
Hilo jina unaweza kibongobongo kumwambia mama mkwe wako "twendeni NAKUMAt"
Mmh!

jina lina historia ilo,jamb mwanzo alianza kwa kuuza magodoro uko nakuru ,duka likawa linaitwa nakuru mattresses baadaye mambo yakawa poa akaona asisahau alipotokea ndo akachukua naku kutoka nakuru na matt kwny mattresses af akajumlisha
 
Jamani tuacheni mambo ya kijamaa yasio na mpango wa maana yoyote. Hii ni private sector, hamuwezi kuwa hamuweki mitaji wala hamchukui risk lakini mko mbele kuamua nani auzwe nani asiuzwe.

Katika ukuzaji wa biashara kuna aina mbili Organic Growth and Inorganic Growth, Maana unaweza kukua kwa kuingia kwenye masoko mengine na kuanzia kutoka chini then kuendelea kukua kwa kuongeza nafasi yako kwenye soko (increasing market share) au unaweza kukua kwa kununua makampuni mengine (merger and acquisition) hii ni very common method. Na ushauri wangu kwa wajasiliamali wa Tanzania ukianzisha biashara lazima uwe na ending strategy ya biashara yako, na opportunity za kuuza biashara zitaongezeka sana miaka hii michache ijayo sababu biashara nyingi sana duniani zinatolea macho Tanzania market.
 
Wabongo mtabakia kulalamika badala ya kufikiria jinsi ya kuanzisha supermarket mnakuwa pessimistic mkizani hawa jamaa hawatafanikiwa huko ni kujidanganya .
Napenda kuwataarifu future ya retail business iko kwenye supermarket . Nitakupeni mfano mmoja kuwa itafika kipindi mtakwenda wenyewe kununua vitu na mtatoka hata Tabata kwenda mpaka mlimani city kwani hawa jamaa watakuwa na supplier power very soon kwa wateja wa rejareja kama sisi wananchi na vile vile watakuwa na buyer power kutoka kwa wazalishaji wakubwa kama viwandani na kwenye Mashamba makubwa na hapo ndipo watakapo kuwa na uwezo juu ya bei tutakayo nunua watakuwa na uwezo wa kuuza bei rahisi zaidi ya dukani kwa Mangi na sisi wananchi hatutakuwa na jeuri ya kutokununua kwao na kwa maana hiyo maduka mengi ya mtaani yatafungwa. Vile baadae wata fungua convenient local shop - small supermarket zao kama branch ndogo.
Na shauri badala ya kuwadeza kwa wafanyabiashara wadogo nawashauri kujipanga mapema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…