Nakuhukumu kufungiwa indefinitely!

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956
Ukikohoa ukatema makohozi barabarani...ni uchochozi,

Ukijamba kwenye daladala...ni uchochezi,



Ukigongea fegi au sosi kwa jirani...ni uchochezi,



Binti kuvaa kimtegomtego...ni uchochezi,


Kibaka akikuvizia ukamshtukia...ni uchochezi,


Kutokua na kadi ya chama chochote cha siasa...ni uchochezi,

Usipolipa kodi ya nyumba kwa miezi kadhaa...ni uchochezi,

Kutokwenda ibadani...ni uchochezi,

Kusoma post hii kwa internet ya ofisini...ni uchochezi,
 
na hii imenitouch sana nawe bila kuifuta ni uchochezi

Kutokua na kadi ya chama chochote cha siasa...ni uchochezi,

Usipolipa kodi ya nyumba kwa miezi kadhaa...ni uchochezi,

Kutokwenda ibadani...ni uchochezi,

Kusoma post hii kwa internet ya ofisini...ni uchochezi,
 

kuweka comment ndefu hivi ni uchochezi
 
natamani kuendelea kupitia threads mbali mbali hapa JF ila naogopa ntakuwa mchochezi, bora nilale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…