Nakshi nyumba yako iwe na mng'ao wa kushangaza na Veneziano stuco kutoka Venice Italy

Fundi rangi

JF-Expert Member
Sep 11, 2014
3,527
1,210
Ndg wadau, kama kawaida yangu mzee wa kuyapamba makazi yako, nakuletea rangi ya Veneziano stuco, yenye mng'ao wa kushangaza na ajabu. Material hii imebuniwa na kutengenezwa kwenye mji wa Venice Italy.

Kampuni ya Veneziano kwa ku maintain ubora, imeingia makubaliano na mtu mmoja tu hapa Tanzania kuwa wakala wake, na huyu haruhusiwi kuwafanya mawakala wengine, hivyo veneziano mpaka sasa ninachojua, inapatikana kwa mtu mmoja tu hapa Tanzania.

Na amepewa angalizo, haruhusiwi kukuuzia veneziano stuco ikiwa huna fundi ambae amethibitishwa na kampuni kwamba ni mtaalam anaeweza kuipaka veneziano ukutani kitaalam.

Kuhusu ubora au kudumu kwa veneziano ukutani kutategemea maandanilzi ya ukuta wako. Kumbuka ikiwa ukita wako hauko imara, maana yake hata kitakacho kaa juu yake hakiko imara.

Iili kuifurahia Veneziano inafaaa kwenye ukuta ambao umeandaliwa vizuri, usiwe na mabonde ya kutisha, unatakiwa uwe umepigwa plaster vizuri. Kimsingi ukuta ukiwa umenyooka vizuri hakika utaifurahia veneziano stuco.

Ipo kwenye ndoo ndogo, na kwa kuwa ipo ktk kimiminika kizito, inahesabika kwa Kg.

Ujazo ni 12Kg
Coverage 30sqm
Bei ni tsh. 200,000
Ni imara inadumu sana miaka isiyo pungua 20 kwenda juu, ni endapo haikusumbuliwa.

Utatupata kwa no 0766111212
 
Ndg wadau, kama kawaida yangu mzee wa kuyapamba makazi yako, nakuletea rangi ya Veneziano stuco, yenye mng'ao wa kushangaza na ajabu. Material hii imebuniwa na kutengenezwa kwenye mji wa Venice Italy.

Iili kuifurahia Veneziano inafaaa kwenye ukuta ambao umeandaliwa vizuri, usiwe na mabonde ya kutisha, unatakiwa uwe umepigwa plaster vizuri. Kimsingi ukuta ukiwa umenyooka vizuri hakika utaifurahia veneziano stuco.

Ipo kwenye ndoo ndogo, na kwa kuwa ipo ktk kimiminika kizito, inahesabika kwa Kg.

Ujazo ni 12Kg
Coverage 30sqm
Bei ni tsh. 200,000
Ni imara inadumu sana miaka isiyo pungua 20 kwenda juu, ni endapo haikusumbuliwa.

Utatupata kwa no 0766111212
Nimevutiwa na tangazo hili maana mimi niko kwenye hatua ya kupaka rangi. Napenda nijue hii ranging ndiyo inaingia sokoni (ni mpya)? Umesema inadumu kwa miaka 20+, kama ni mpya huo ubora (miaka 20+) unathibitishwaje wakati bidhaa ni mpya? Ni kutokana na maelezo (description) yaliyomo kwenye leaflet ya bidhaa au kuna watumiaji waliothibitisha hivyo? Nisaidie ili niitafute bidhaa hii.
Picha zote hizi zinaonesha mwonekano wa veneziano stuco kutoka Venice Italy.

Hakika mng'ao wa Veneziano stuco una mvuto wa ajabu.
 
Nimevutiwa na tangazo hili maana mimi niko kwenye hatua ya kupaka rangi. Napenda nijue hii ranging ndiyo inaingia sokoni (ni mpya)? Umesema inadumu kwa miaka 20+, kama ni mpya huo ubora (miaka 20+) unathibitishwaje wakati bidhaa ni mpya? Ni kutokana na maelezo (description) yaliyomo kwenye leaflet ya bidhaa au kuna watumiaji waliothibitisha hivyo? Nisaidie ili niitafute bidhaa hii.
Habari ndg, Veneziano stucco ni bidhaa ambayo haina ujanja ujanja kama ambavyo imezoeleka watu kufanya kwenye baadhi ya mambo. Hakuna wasiwasi, wewe kaka mzoefu wa mitandao, ukigoogle tafuta kitu kinaitwa TDS yaani Technical Data Sheet, andika veneziano stuco technical data sheet utapata maelezo ya mtengenezaji juu ya Veneziano.
 
Ahsante ikiwa umenielewa, kampuni ya Veneziano kwa ku maintain ubora, imeingia makubaliano na mtu mmoja tu hapa Tanzania kuwa wakala wake, na huyu haruhusiwi kuwafanya mawakala wengine, hivyo veneziano mpaka sasa ninachojua, inapatikana kwa mtu mmoja tu hapa Tanzania.

Na amepewa angalizo, haruhusiwi kukuuzia veneziano stuco ikiwa huna fundi ambae amethibitishwa na kampuni kwamba ni mtaalam anaeweza kuipaka veneziano ukutani kitaalam.

Kuhusu ubora au kudumu kwa veneziano ukutani kutategemea maandanilzi ya ukuta wako. Kumbuka ikiwa ukita wako hauko imara, maana yake hata kitakacho kaa juu yake hakiko imara.
 
Mkuu hiii rangi zipo colour tofauti tofauti? Pili unaweza kuchanganya ili kupata rangi unayoitaka? Tatu kama nilishapaka rangi nyingine inakubalika kuitoa na kupaka hii? Nne nikishapaka kama sijaridhika nayo inatoka kirahisi kama rangi za kawaida?
1. Utaipata kwa rangi yoyote unayotaka.
2. Ili kupata rangi unayotaka itachanganywa kwanza.
3. Inakubali kukaa juu ya rangi ya kawaida.
4. Ukiichoka inapigwa msasa juu yake na unapaka rangi nyingine.

Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
 
Asante kwa majibu mazuri sana. Ninajipanga nikuone. Pia, jitangaze na facebook hasa kwenye group la ujenzi zone utapata wadau wengi sana
 
Mkuu napenda kufahamu vitu kadhaa..
1. Naomba elimu ya application yake katika ukuta wa namna gani na coats ngapi
2.Naomba kuona ingridients zake (ukinipigia picha itafaa zaidi)
3.Stucco most of the time nadhani wa apply kwa nje sasa naomba kujua why hiyo ni ndani tu...

Natanguliza shukrani Mkuu
 
1. Veneziano stucco inahitaji ukuta ambao umeandaliwa vizuri tangu plaster na kufanyyiwa skimming vizuri. Maana yake ukuta ulio nyooka. Veneziano haiko kwenye kimiminika chepesi kama vile rangi za maji ambazo tuna apply ukutani na Roller brush. Bali hii ni kimiminika kizito na tuna apply kwa kutumia pas kama vile tunafanya skimming.

2. Nipe Hi 0766 111212 kwenye whatsapp nikumbushe wewe ni nani nitakurushia picha.

3. Ni Sahihi kwamba stucco zinatumika pia nje, lakini kwenye hii mtengenezaji ame recommend itumike ndani tu, iliyo isha tulikuwa tunapaka na nje, lakini hii, ni ndani tu.
 
Attachments

  • IMG-20180109-WA0032.jpg
    IMG-20180109-WA0032.jpg
    66.5 KB · Views: 84
Back
Top Bottom