Burna boy na Kofi Olomide ndo mambo Yao hayo
Jaman iv watu wanavaa kabisa
Shs ngapi!!?
Hivyo vya wachora tattoo na waning'iniza cheni viunoni.
-Kaveli-
Jaman iv watu wanavaa kabisa
Acha ufalla, kujua kitu gani likiatu libovu hilo la wabwia unga.Jf wajuaji wengin real sense hawajui ktu
![]()
Burna boy na Kofi Olomide ndo mambo Yao hayo


Haijalishi, ni viatu wa wahuni tuKwa taarifa ndio best selling shoe kwa sasa nchini tanzania
Acha ufalla, kujua kitu gani likiatu libovu hilo la wabwia unga.
mi nshauza pair 50 ndani ya wikiHaijalishi, ni viatu wa wahuni tu
Hata uuze 6m still bado wanunuzi ni wahuni tuSawa mkuumi nshauza pair 50 ndani ya wiki