Mambo vp wa MMU... hop mko poa sana bna.
Hoja mbele yenu nikutaka kufahamu toka kwa wote wenye uzoefu au walio pitia haya kama mimi.
Ni muda sasa wa pata miaka 3,tangu niwe nagegeda manzi mmoja anatokea pande za bukoba..
Nakiri kua nilijitoa sadaka kwa kila namna juu yake coz nilimpenda.
Chaajabu tangu afike UDOM imekua shdaaaa.. Haeleweki hata kidogo, amekua mtu wa kutaka big results now,migogoro daily,nikimuuliza anajibu utumbo mtupu,akiomba kiasi cha mkwanja ukimpa harudishi feed back kama amezipata anakaa kimya,mpaka umpigie umuulize kma ameipata au lah,
to be honest nimepoteza imani juu yake kabisa,but nimezaliwa mwanaume imenipasa nivumilie coz najua maisha nilazima yaendelee hata bila ya uwepo wake kwangu.
MSAADA unao itajika utokane na maswali haya plz.?
Hivi wanawake wanajua kweli wanacho kitaka toka kwa wanaume juu ya mapenzi.?
Nifanye nini ili niweze kumtambua mwanamke anaejua thamani ya uchi wake kwa mwanaume mwenye malengo nae ktk maisha.?
Nb.: naitaji michango yenu yenye busara juu ya hili jambo,wote mnakaribishwa.
Cc: mods siitaji kinyongo na nyie mana hamchelewi kuondoa uzi nazo tupiaga.
Finito..

Mmmmh!
Sijui ulianza ku-date naye akiwa na miaka mingapi ila mimi nikitoka na demu under 20, au demu ambaye hajakuwa exposed sana (wa mikoani na wa-geti kali) huwa najiandaa kwa lolote.....
pole sana brother ila jua ukiona manyoya...............................................
Ukipata jibu la nini wanawake wanchokitaka kwetu tafadhali nijuulishe, yoyote anayeweza kujua hili atasaidia sana ulimwengu huu
huwezi kutambua mwanamke anayejuwa thamani yake
Hivi, ukiwa naye karibu vidume havimmezei mate?mwanmk akiwa mbal na ww jua sio wako unadhan ni vdume vngap vnammezea mate? km unampa pesa endelea 2. "act km dngi ake"