Najuta Kuipigia CCM Kura

Status
Not open for further replies.

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2009
Posts
3,444
Reaction score
265
Source: Mange Kimambi Blog: [mods tafadhali msiondoe kama mnawatendea watanzania haki hizi ni picha zao wenyewe]

View attachment 46432View attachment 46433View attachment 46434View attachment 46435View attachment 46436View attachment 46437View attachment 46438View attachment 46439
 
kwani wewe uko peke yako hapa Tanzania? kwani ilishinda kwa moja? acha kujidanganya.
 
Majuto ni mjukuu. Naona sasa umeshakua mjukuu! hongera
 
Unafanana sana na wale madada wanaokumbuka dawa ya penzi wakati 'kisu' kipo kwenye ALA ya 'kuazima'
 
CCM= chama cha wakulima na wafanyakazi!
Wakulima ndo hao walio kwenye vijumba vibovu? Na wafanyakazi na wale walio na hayo majumba makubwa? mh, kama ni hivyo life is not fair at all!!
 
jaman mtoa mada yupo sahihi,.kalitambua kosa na amekir sidhan kama ni sahih kumnanga hvyo ila tumshukuru Mungu kwa kumfumbua macho na tumuombe afumbue wengi ili 2015 wafanye machaguo sahihi
 
na bado hamjajuta vizuri. Bila shaka hii mada ni ya mwanamke. hIVI NYI SI NDO MLISEMA MNATAKA RAIS MUUZA SURA? I wish......!!!!!!

Paaambaffff!
 
chukuru churulu si ndondondo! BIla shaka kura yake na yangu na ya yule ndo zilileta ushindi nakushindwa kwa wengine
kwani wewe uko peke yako hapa Tanzania? kwani ilishinda kwa moja? acha kujidanganya.
 
Tunajuta wakati kama huu tunapoona mambo yanakwenda ndivyo sivyo. Lakini ukifika wakati wa Kampeni bado kila kona watu tumevaa T-shirt, kofia, na khanga tunatangaza sura za watu.

HUKU TUNASEMA "KIDUMU CHAMA CHA MAFISADI"

Tukienda kwenye sanduku la kura kwa sababu tulipokea Tsh. 1,000/= basi hapo tunasema

"WAJINGA WOTE TUTIE, TUTIE, TUTIE TUTIE KWA MOYO MMOJA, NAMBARI WANI EEEEE, NAMBARI WANI NI CCM"

LEo tusilalamike ndio malipo ya Ths. 1,000/= haya!!!!!!!!!!!!

MIZAMBWA
IANIUMA SANA!!!!
 
Huo ni mwaka mmoja na mwezi mmoja! baado miaka mingine mitatu! kha.
POPOBAWA.
 
Ujinga uloufanya uwe fundisho mwaka 2015, waelemishe na wajinga wenzako wa mwaka 2010, msifanye tena hilo kosa.
 
We ni ngwenya tu!kaeleze shida zako kituo ulichopigia hiyo kura ya kingese
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…