Naiuza hii Laptop.

bilemasome

Member
Joined
Oct 31, 2016
Posts
48
Reaction score
9
Dell Latitude d610.
Hard disk 320GB
Duo core.

KWANINI NAIUZA?:

a)- haiwaki tatizo linaweza likawa ni RAM
( Inatumia RAM DDR2)

b)-sina adapter yake.

(Sijaipeleka kwa fundi kuifungua fungua..kwahiyo bado ina upya wake.
)

c) Nina shida na pesa.


BEI:

-Naiuza kwa Tsh. 220,000.

MAWASILIANO:

- Naomba unipigie au uniwhatsapp kwenye hii namba

0744 50 51 70.







 
D620 kwa bei hiyo na bado haijakamilika unautani wewe na pesa zetu.
 
Sorry muuzaji!?

Umeanza kutumia laptop mwaka gani!? Hilo toleo ni yale matoleo ya mwanzoni kabisa ya dell!

Kwa hiyo beo, bado sana...

Reasonable price haiwezi kuzidi 150k!
 
Sorry muuzaji!?

Umeanza kutumia laptop mwaka gani!? Hilo toleo ni yale matoleo ya mwanzoni kabisa ya dell!

Kwa hiyo beo, bado sana...

Reasonable price haiwezi kuzidi 150k!

kama inafanya kazi vizuri niletee chalinze kwa 50,000. Hakikisha unaleta pamoja na adapter, flash ya gb 30, na laptop bag.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…