Naitajii mawazo yenu ma greater thinker...


Hiyo imetulia ni wengi wanafanya hivo.
 

Big NO. Kumpumzika kwa mamaake sio solution. Kumbuka tajiri mmoja kati ya mafukara wengi ni maskini wa kutupwa. Unapomsaidia saizi unaondoa mzigo wa baadae, kesho akiwa nacho mtasaidiana sio wewe utamsaidia, usipo msapoti leo hataisha kuhitaji msaada wako but ukimsaidia hata we ukikwama au yeye mnaweza azimana ila sikupeana bure dia wangu. Please just help your dogo, pengine anaogopa kusema anachotaka kwakuwa tu anaona kama ameharibu but no unaeza mshauri cha kufanya. Mpeleke hata ustawi, cbe, mzumbe pia wanapokea ctfct sikuhizi, Big time.
 
Mkuu mbona makosa mengi hivyo sasa nani wa kusaidiwa hapa??
 

thanks mamushka...ntajitaidi kufanyiaa kazii ushaurii wako kwa bidii.najaribu kumfanya asahau kwanzaa then siku nimtoe dinner niongee nae kirafikii zaidi kamaa atakubalii ushaurii wangu au anipe mawazo yake anapendaa niniii?na mimi niko rathi kumsaidia mpaka mwisho
 
By tha wei huenda akawa anaweza so kama anaweza na yupo tayari kusoma arudi darasani na akamue ila kwa vyuo vingi D mbili ishu kutoka so ushauri wa bure akafundishe chekechea atatoka mbona wengi wapo huko ........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…