mathsjery JF-Expert Member Joined Sep 26, 2015 Posts 2,287 Reaction score 1,855 Apr 9, 2016 #1 Jamani naitaji pc used iwe na hdd500 gb Processor 2.6ghz Ram 4gb nina laki tatu
Eng Kahigwa JF-Expert Member Joined Feb 18, 2014 Posts 783 Reaction score 632 Apr 9, 2016 #2 mathsjery said: Jamani naitaji pc used iwe na hdd500 gb Processor 2.6ghz Ram 4gb nina laki tatu Click to expand... kwa gharama hiyo na specification hizo sidhani kama utafanikiwa kupata kutoka kwa muuzaji yeyote iwe used au mpya, fanya juu chini uongeze kiasi zaidi.
mathsjery said: Jamani naitaji pc used iwe na hdd500 gb Processor 2.6ghz Ram 4gb nina laki tatu Click to expand... kwa gharama hiyo na specification hizo sidhani kama utafanikiwa kupata kutoka kwa muuzaji yeyote iwe used au mpya, fanya juu chini uongeze kiasi zaidi.
Dragoon JF-Expert Member Joined Nov 24, 2013 Posts 7,012 Reaction score 8,150 Apr 9, 2016 #3 mathsjery said: Jamani naitaji pc used iwe na hdd500 gb Processor 2.6ghz Ram 4gb nina laki tatu Click to expand... desktop au laptop
mathsjery said: Jamani naitaji pc used iwe na hdd500 gb Processor 2.6ghz Ram 4gb nina laki tatu Click to expand... desktop au laptop
Hamis Juma JF-Expert Member Joined Nov 4, 2011 Posts 2,229 Reaction score 2,273 Apr 9, 2016 #4 Hp 635 Battery haikai na chaji, hdd 320 Ram 2gb Amd processor Ongeza 50 iwe 350 nkuachie japo naipenda
Hp 635 Battery haikai na chaji, hdd 320 Ram 2gb Amd processor Ongeza 50 iwe 350 nkuachie japo naipenda
mathsjery JF-Expert Member Joined Sep 26, 2015 Posts 2,287 Reaction score 1,855 Apr 9, 2016 Thread starter #5 Jamani hata hdd ikiwa ndongo zaidi ya 500gb ila si chini ya 320 hdd mi naitaji processor walau 2 ghz
Hamis Juma JF-Expert Member Joined Nov 4, 2011 Posts 2,229 Reaction score 2,273 Apr 10, 2016 #6 Ongeza 50 nkuachie pc hiyo
mathsjery JF-Expert Member Joined Sep 26, 2015 Posts 2,287 Reaction score 1,855 Apr 10, 2016 Thread starter #7 hamisj said: Ongeza 50 nkuachie pc hiyo Click to expand... Uko wapi
mathsjery JF-Expert Member Joined Sep 26, 2015 Posts 2,287 Reaction score 1,855 Apr 10, 2016 Thread starter #8 hamisj said: Ongeza 50 nkuachie pc hiyo Click to expand... Weka screen short na picha yake bro mathsjery said: Uko wapi Click to expand...
hamisj said: Ongeza 50 nkuachie pc hiyo Click to expand... Weka screen short na picha yake bro mathsjery said: Uko wapi Click to expand...