Saa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 6,553
- 12,999
Unajua izo prohect mpaka uwasiliane na mitandao husiku??...uko tayari kumudu gharama?? Nakucheki PM CS jobless apaNaitaji page iweze kuaccept mastercard, visa and the like.
Kama wewe ni mtaalam/kampuni na unajua unachokifanya nicheki pm tubadilishane mawasiliano.
Unajua izo prohect mpaka uwasiliane na mitandao husiku??...uko tayari kumudu gharama?? Nakucheki PM CS jobless apa
Njoo tufanye kazi kama upo serious.Naitaji page iweze kuaccept mastercard, visa and the like.
Kama wewe ni mtaalam/kampuni na unajua unachokifanya nicheki pm tubadilishane mawasiliano.
Usiwe unalopoka mkuu utajiaibisha bure. List basi hizo free api za kuaccept credit cards?Kama mtandao upi wakati kuna api kibao kwa ajili ya checkout Kama hizo ziko open.
Vipi kama haihusishi na wateja wa Tanzania?
Kwahyo mobile payments inawezekana kwa free API ila kwa cards complex kidogoUsiwe unalopoka mkuu utajiaibisha bure. List basi hizo free api za kuaccept credit cards?
Hapo kama huna ujanja wa kufanya paypal au skrill ikubali kupokea TZ basi inabidi utafute provider utakae mlipa kuhandle hzo transactions zako.
Ulomquote hapo yupo sahihi japo kwa wateja wa mobile money ila kwa cards ndo inabidi uwe na middleman hapo
Usiwe unalopoka mkuu utajiaibisha bure. List basi hizo free api za kuaccept credit cards?
Hapo kama huna ujanja wa kufanya paypal au skrill ikubali kupokea TZ basi inabidi utafute provider utakae mlipa kuhandle hzo transactions zako.
Ulomquote hapo yupo sahihi japo kwa wateja wa mobile money ila kwa cards ndo inabidi uwe na middleman hapo
Unaandika trash hadi nashindwa kusoma.Na uzuri ni kwamba kwenye hiyo project yake hakueleza kuhusu mobile money na sio vyote lazima umcontact provider wa hiP service unajuaje kama yeye anataka hizo mobile money amgeyaja aina ya biashara na wateja wake location zao ziko wapi unasema naloppka nafahamu vyote lakini huwezi fanya conclusion. Ya moja kwa moja eti kwamba anapaswa awaskiane na nani huyo inategema.
Mfano wa checkout inayo accept credit/debit card nawasikiana na Nani kuintergrate zaidi ya kufuata maelekezo ya kwenye mitandao husika hapo nawasikiana na nani.
Haya kwa mobile money hapa bongo ndyio he Kama anafana wateja anategemea wateja kutoka nje ya nchi wamlipe kwa mobile money ipi kama ingekuwa hivyo eBay wangeweka mobile money payment usumbufu kwa wateja wenye credit card na debit sasa yeye alipaswa apate detaip kutoka kwa mhusika ili aone anachotaka kinakuwaje .
Mfano unaweza wasiliana na paypal au stripe ili iweje ?
Wakati kuna maelezo kwenye site zao na developer option kwa api zao.
Yeye kama alifocus na wabongo je mteja naye anataka hivyo?
Kifupi alivjotakiwa ni kuhoji kujua mtindo wa biashara ya mtoa mada ukoje.
Sina uhakika na unachotaka! Mimi sio programer, ila hiki unachokitaka ni very simple.Naitaji page iweze kuaccept mastercard, visa and the like.
Kama wewe ni mtaalam/kampuni na unajua unachokifanya nicheki pm tubadilishane mawasiliano.
Unaandika trash hadi nashindwa kusoma.
Hata kama wateja ni wa USA, inabidi uwe na merchant account ya kuprocess cards. Kama ni mobile money ndo inabidi uwasiliane na mtandao husika
Sasa hio merchant acc unaipataje? Lazima kuwe na provider. Unaonekana hata hujui hz cards zinavyofanya kazi
Bank za nje zinaweza kukupa hio merchant account kwenye business acc yako ila kwa bongo sijajua kama banks zinatoa hio aina ya access kwenye business accs. All in all, either way hapo lazima uwe na provider wa katikati (na kwa case ya cards ndo huyo atakae kupa access ya merchant account)
Af sibishani na wewe, nakupa elimu tu coz unaonekana uko mweupe sana kwenye hili jambo
Nmeintegrate haya mambo kwenye sites na apps zaidi ya 5.
Note: Kwa trash uloandika hapo juu sikutaka hata kukuquote nmekuquote kwa faida ya wengine
Njoo PMNaitaji page iweze kuaccept mastercard, visa and the like.
Kama wewe ni mtaalam/kampuni na unajua unachokifanya nicheki pm tubadilishane mawasiliano.
Kama mtandao upi wakati kuna api kibao kwa ajili ya checkout Kama hizo ziko open.
Vipi kama haihusishi na wateja wa Tanzania?