Kila la heri mzee baba. Ila kwa umri huo, ulitakiwa pia kuelezea shughuli zako za kukuingizia kipato ili kuwavutia hata wale HIV Negative.
Utawaponza watu mkuu,yeye kasema +ve tu usiwaingize kingi walio -veKila la heri mzee baba. Ila kwa umri huo, ulitakiwa pia kuelezea shughuli zako za kukuingizia kipato ili kuwavutia hata wale HIV Negative.
Kwa hiyo wewe ukiangalia pochi tu?
smdh
Hautaki mume ww..???Kila la kheri
NatakaHautaki mume ww..???
Nataka
Natamani kujua ilikuaje ukapata ukimwi..samahani kama swali langu litskukwaza lakin natamani tu kujifunza kitu toka kwakoHabari!
Mimi ni mwanaume wa miaka 52
Nimeathirika na maambukizi ya Virusi vya UKIMWI
Nimejitokeza kutafuta mke wa maisha
Mimi ni mrefu
Slim body
Maji ya kunde
Naishi Dar
Natafuta mwanamke ambaye atakuwa mwenye fikra za kupandisha CD4 ili kubaki salama
Mke: Umri wowote, dini yoyote hasiwe mfupi mana mimi ni mrefu.
Mawasiliano:
0762 62 61 20 (whatsapp)
Ushampata au bado?Habari!
Mimi ni mwanaume wa miaka 52
Nimeathirika na maambukizi ya Virusi vya UKIMWI
Nimejitokeza kutafuta mke wa maisha
Mimi ni mrefu
Slim body
Maji ya kunde
Naishi Dar
Natafuta mwanamke ambaye atakuwa mwenye fikra za kupandisha CD4 ili kubaki salama
Mke: Umri wowote, dini yoyote hasiwe mfupi mana mimi ni mrefu.
Mawasiliano:
0762 62 61 20 (whatsapp)