Naitaji kiwanja au shamba

Naitaji kiwanja au shamba

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,589
Habarini

naitaji kiwanja au shamba lenye ekari 1 kwa tsh. 500,000/= maeneo ya ukuni bagamoyo au popote bagamoyo
pls kwa aliyenacho anijulishe kwani ni muhimu sana. aniPM Itakuwa vyema

pls
 
nahitaji sana waweza kunitafutia huko best?
hongera best. kushinda mitandaoni tunashinda na madorali tunatafuta
wanawake hoyeeeeeeee
best maeneo ya kibaha hutaki?
 
Kuna sehem inaitwa kidimu, ipo km 8 kutoka barabara ya morogoro. Unaingilia kibamba, nina shamba pale nauza ekari moja milioni na laki mbili. Nicheki 0713322856 twende kazi
 
Mashamba yapo ila bei zake zimesimama sana, kuna jamaa anauza 20 kwa 20 milion moja. Kama utahitaji nikuunganishe nae.
 
Fukayosi, barabara ya lami kuelekea Msata. Shamba lipo umbali wa mita 80 kutoka mwisho wa miliki ya barabara.
Kuna heka nne hivi zinauzwa zote kwa 6 M kila moja. kama uko sawa, onesha nia.

Historia haiishiwi wino.
 
Fukayosi, barabara ya lami kuelekea Msata. Shamba lipo umbali wa mita 80 kutoka mwisho wa miliki ya barabara.
Kuna heka nne hivi zinauzwa zote kwa 6 M kila moja. kama uko sawa, onesha nia.

Historia haiishiwi wino.
Duh! Hii bei ya dar hii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom