Naitaji gari ya kununua number D

steve111

Member
Joined
May 29, 2015
Posts
91
Reaction score
58
Habari ya kazi Wakuu..
Naitaji Gari ya kununua aina ya IST, RAUM, RUNX number D, offer 7,500,000/=
-Niko mbeya simu; 0758975807
 
mi nataka Spacio au Ist Namba D isiyo zidi 70,000km ya mwaka kianzia 2005 kwa offer ya 10m
 
Habari ya kazi Wakuu..
Naitaji Gari ya kununua aina ya IST, RAUM, RUNX number D, offer 7,500,000/=
-Niko mbeya simu; 0758975807
Ninayo ya zamani ilikaa gereji miaka Sita ilikuwa Na namba zile zamani ilikuwa Na namba za mkoa wa mbeya inaanzia MB ....Sasa nimeifufua TRA wakaipa namba inaanzia Na Namba D.... baada ya kubadilisha unaitaka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…