buko Member Joined Jan 1, 2012 Posts 52 Reaction score 16 Jul 12, 2015 #1 kwa mwenye kujua ni wapi naweza nikapata kits/box naona wanaita ivo kwa ajiri ya kuflash simu msaada tafadhali
kwa mwenye kujua ni wapi naweza nikapata kits/box naona wanaita ivo kwa ajiri ya kuflash simu msaada tafadhali
Cysthe Member Joined Jul 11, 2015 Posts 8 Reaction score 5 Jul 13, 2015 #2 buko said: kwa mwenye kujua ni wapi naweza nikapata kits/box naona wanaita ivo kwa ajiri ya kuflash simu msaada tafadhali Click to expand... Kama una uwezo, eBay ni the place to go.
buko said: kwa mwenye kujua ni wapi naweza nikapata kits/box naona wanaita ivo kwa ajiri ya kuflash simu msaada tafadhali Click to expand... Kama una uwezo, eBay ni the place to go.
samsun JF-Expert Member Joined Feb 9, 2014 Posts 7,386 Reaction score 5,968 Jul 13, 2015 #3 buko said: kwa mwenye kujua ni wapi naweza nikapata kits/box naona wanaita ivo kwa ajiri ya kuflash simu msaada tafadhali Click to expand... Duhhh, we mkuu mi sijakupata kwa jinsi unavyouliza inaonyesha ni kama haujui hata ni jinsi gani ya kuflash na kama unajua sidhani kama ungeshindwa kujua wapi utapata
buko said: kwa mwenye kujua ni wapi naweza nikapata kits/box naona wanaita ivo kwa ajiri ya kuflash simu msaada tafadhali Click to expand... Duhhh, we mkuu mi sijakupata kwa jinsi unavyouliza inaonyesha ni kama haujui hata ni jinsi gani ya kuflash na kama unajua sidhani kama ungeshindwa kujua wapi utapata
buko Member Joined Jan 1, 2012 Posts 52 Reaction score 16 Jul 14, 2015 Thread starter #4 sijui ndoo maana nahitaji msaada wapi pa kupata
likeness Senior Member Joined Feb 9, 2014 Posts 153 Reaction score 42 Jul 16, 2015 #5 Ziko aina mingi sana hapa Kenya itategemea ni Simu za aina gani utataka kuflash...for more details nione kando
Ziko aina mingi sana hapa Kenya itategemea ni Simu za aina gani utataka kuflash...for more details nione kando
LEGE JF-Expert Member Joined Oct 14, 2011 Posts 5,122 Reaction score 9,222 Jul 16, 2015 #6 likeness said: Ziko aina mingi sana hapa Kenya itategemea ni Simu za aina gani utataka kuflash...for more details nione kando Click to expand... kwa nini iwe kando na sio hapa hapa??
likeness said: Ziko aina mingi sana hapa Kenya itategemea ni Simu za aina gani utataka kuflash...for more details nione kando Click to expand... kwa nini iwe kando na sio hapa hapa??
likeness Senior Member Joined Feb 9, 2014 Posts 153 Reaction score 42 Jul 16, 2015 #7 Am not an idler like u ...sishindi kwa internet
kijumbamshale JF-Expert Member Joined Apr 27, 2011 Posts 267 Reaction score 88 Jul 16, 2015 #8 Kwani huko kando atakua anakuona Physical? Acha uchoyo wa knowledge wewe mbona akina Chief Mkwawa wanatiririka masomo tu hapa..... Au hujiamini unaogopa challenges unataka umpeleke kando ukamdanganye huko.
Kwani huko kando atakua anakuona Physical? Acha uchoyo wa knowledge wewe mbona akina Chief Mkwawa wanatiririka masomo tu hapa..... Au hujiamini unaogopa challenges unataka umpeleke kando ukamdanganye huko.
Uhuru24 JF-Expert Member Joined May 2, 2015 Posts 4,472 Reaction score 5,033 Jul 16, 2015 #9 Ninalo la volcano 0715378899
Uhuru24 JF-Expert Member Joined May 2, 2015 Posts 4,472 Reaction score 5,033 Jul 16, 2015 #10 Mim ninalo la volcano mpya kabisa na cable zake luundo nipo humu0715378899
Uhuru24 JF-Expert Member Joined May 2, 2015 Posts 4,472 Reaction score 5,033 Jul 16, 2015 #11 Ninayo pia ya nokia mbayo hutumia usb tu
Alkelokas JF-Expert Member Joined Dec 12, 2012 Posts 203 Reaction score 104 Jul 16, 2015 #12 Aisee namm nahitaji sana hizo Moshe HVO sh.ngap mfno nataka niflash simu za Nokia na smart phones?
khalfan56 JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 639 Reaction score 136 Jul 16, 2015 #13 hilo volcano sh ngap
chongchung JF-Expert Member Joined Jun 23, 2013 Posts 14,300 Reaction score 45,091 Jul 16, 2015 #14 Hayo mabox ya kuflashia sim yamejaa mengi mpaka vijijini alafu unataka kumletea kutoka Kenya?????
gwijimimi JF-Expert Member Joined Sep 24, 2011 Posts 7,344 Reaction score 3,616 Jul 16, 2015 #15 likeness said: Ziko aina mingi sana hapa Kenya itategemea ni Simu za aina gani utataka kuflash...for more details nione kando Click to expand... Acha ubinafsi kwann usitoe maelezo kwa faida ya wote
likeness said: Ziko aina mingi sana hapa Kenya itategemea ni Simu za aina gani utataka kuflash...for more details nione kando Click to expand... Acha ubinafsi kwann usitoe maelezo kwa faida ya wote
Mr Hero JF-Expert Member Joined Jun 11, 2015 Posts 5,540 Reaction score 7,462 Jul 16, 2015 #16 gwijimimi said: Acha ubinafsi kwann usitoe maelezo kwa faida ya wote Click to expand... Anataka amkamue sawasawa
gwijimimi said: Acha ubinafsi kwann usitoe maelezo kwa faida ya wote Click to expand... Anataka amkamue sawasawa
likeness Senior Member Joined Feb 9, 2014 Posts 153 Reaction score 42 Jul 16, 2015 #17 kijumbamshale said: Kwani huko kando atakua anakuona Physical? Acha uchoyo wa knowledge wewe mbona akina Chief Mkwawa wanatiririka masomo tu hapa..... Au hujiamini unaogopa challenges unataka umpeleke kando ukamdanganye huko. Click to expand... Am sorry naona Huo msemo una maana tofauti hapo Tz ...hapa Kenya nione kando yammanisha ni contact
kijumbamshale said: Kwani huko kando atakua anakuona Physical? Acha uchoyo wa knowledge wewe mbona akina Chief Mkwawa wanatiririka masomo tu hapa..... Au hujiamini unaogopa challenges unataka umpeleke kando ukamdanganye huko. Click to expand... Am sorry naona Huo msemo una maana tofauti hapo Tz ...hapa Kenya nione kando yammanisha ni contact
chongchung JF-Expert Member Joined Jun 23, 2013 Posts 14,300 Reaction score 45,091 Jul 16, 2015 #18 likeness said: Am sorry naona Huo msemo una maana tofauti hapo Tz ...hapa Kenya nione kando yammanisha ni contact Click to expand... Hayo mabox saivi hapa Tanzania unayapata kwa hata dollar 10.
likeness said: Am sorry naona Huo msemo una maana tofauti hapo Tz ...hapa Kenya nione kando yammanisha ni contact Click to expand... Hayo mabox saivi hapa Tanzania unayapata kwa hata dollar 10.
khalfan56 JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 639 Reaction score 136 Jul 16, 2015 #19 box ngani hiyo unapata kwa dollar 10 box mpaka laki 7
kagombe JF-Expert Member Joined Mar 1, 2015 Posts 3,624 Reaction score 1,826 Jan 16, 2016 #20 Ninayo mabox kaka volcano nataka kilo 2.z3x ninalo la kilo 4. Na kilo 3..nicheki 0754604567