Naishauri CCM Kuelekea 2015

Mkuu umeweka ushauri murua lkn napenda kukumbusha kuwa ww sio wa kwanza wala wa pili kutoa ushauri kama huo,alianza baba wa Taifa,kasema weeeeee mpk siku za maisha yake zikafikia ukingoni,na wengine wamesema mpk wanaona midomo inataka kupinda wameamua kunyamaza......siku kinakufa hakuna jinsi mutapata dawa ya kukiponya,kiacheni kikapumzike.....imetosha mateso yake.
 
tutajirekebisha kabla ya 2015 ikiwa ni pamoja na kuwaweka wagombea mahiri wasiotumia fedha ndani ya chama

hiyo single ya tutajirekebisha kumbuka ilisha chuja !
 
Big Result Now! from no where,copy and paste! Big result hata msongamano wa DAR tu umeshindikana,Big result ya nini ?Kuuza madawa au rushwa na Ufisadi! sielewi,Kilimo kwanza vipi na Power tiller,MKUKUTA na MKURABITA vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…