Lakini wakenya ni walalamishi sana kwa kila kitu hawa watani zetu hawaridhiki angeimba wengemlalamikia kuwa wameisha muona sana kwenye video clips amejitahidi kuwachangamsha wanasema haimbi vizuri kama kwenye video inatakiwa organizers waseme preferences zao mapema sio kuja kulia baadaeDiamond anaweza sana kuimba live. Si umfuatilie coke studio.
Shida ya diamond ni moja anapenda kucheza anasahau kuna kuimba. Dancers wa nini kama anataka kucheza zaid kuliko kuimba. Huwez imba huku unacheza ni ngumu sana kumaintain. Na ndicho hicho kinamuangusha diamond angefataga ushauri wa kuwaachia dancers wacheze yeye aimbe tu
Sababu sio msanii wa nchini kwao bdio maanaLakini wakenya ni walalamishi sana kwa kila kitu hawa watani zetu hawaridhiki angeimba wengemlalamikia kuwa wameisha muona sana kwenye video clips amejitahidi kuwachangamsha wanasema haimbi vizuri kama kwenye video inatakiwa organizers waseme preferences zao mapema sio kuja kulia baadae
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa wamewazoeaDiamond platnumz na WCB kwa ujumla waache kufanya sana shoo KENYA imekuwa too much wameshawachoka kila siku KENYA KENYA KENYA wajipe break kidogo na hizi shoo za KENYA watafute market na sehemu tofauti tofauti za Africa
Mkuu ana haki ya kushikwa makalio Jitu limejipodoa kama mwanamke why asipapaswehuyo diamond kanifanya nimchukie na shoo yake yote ya jana alipokua anajitingisha makalio huku akikubari kushikwa shikwa makalio na mashabiki..
amejishushia thamani kiukweli ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Chriss Brown hatowasahau Wakenya hahaha jamaa wamepooza wale khaaa!?Write your reply...
Wakenya ndo washamba kwny show yaan wamepoa
Unafanisha show za mbele na za ndani, show za mbele bajeti yake ni kubwa na kwa TZ, Diamond baadhi ya show huwaga anatembea na bendi ukiona hivyo bajeti haijatosha.
Ila upande wa ku synchronize kuimba na kucheza si Diamond anayepata Diamond anayepata tabu, nishaangalia show za Cris Brown na Jason Derulo nao huwaga wanachemka upande wa sauti na kuconcetrate sana kucheza, hapa duniani msanii anaweza kuimba na kucheza kwa wakati mmoja ni Beyonce pekee na kwa Africa Fally Ipupa na Mr Flavor.
Kuhusu kuweka sauti ya kike si lazima hata mbele Kuna wasanii wakubwa, huwa hawaweki sauti za kike, kwenye nyimbo zao walizo walizo washirikisha wanawake.
Ila Mondi anahitaji sana mazoezi ya pumzi sababu kuimba na kucheza unatakiwa uwe na upepo wa kutosha kwani mara nyingi anaanza vizuri mwanzo, ila akifika kati upepo unapungua au labda inawezekana ukawa uchovu sababu kwa siku sita amefanya show nne mfululizo sehemu tofauti.
Esma hafai tena kuwa vocal coach? Hv yule Queen Dalin ana shughuli gan kwenye hayo matamasha?Diamond anahitaji vocal coach, badala ya kuimba ye anapiga makelele tu.
Unaonaje ukienda kumsaidia?Diamond anahitaji vocal coach, badala ya kuimba ye anapiga makelele tu.
Hao ma vocal coach why wasiimbe wao wakatoka?Sio diamond wasanii wote wa kuimba wanahitaji vocal coach, kama ilivyo kwa wenzetu ulaya.