Yanga siku hizi inatukera sana mashabiki wakeHuo ndiyo ukweli, yaani nikisema upenzi wa soka bila kutaja yanga sioni maana ya soka.
Yanga ina mipango ya muda mrefu na ya mfupi, ina viongozi wenye shule na IQ kubwa tofauti na 7up fc, hukubali makosa na kujirekebisha, siyo wa binafsi, wanajua kulea wachezaji, wa najua mashabiki wanataka nn.
Kuniambia nihame yanga nikama kunitaka nihame kabila langu.
Ukitaka raha njoo yanga, ukitaka mume muelewa olewa na mpenzi wa yanga , ukitaka mke mzuri, mwenye sifa za wife material oa shabiki wa kike wa yanga.
Mtaa wa pili utakutana na waimba taarabu , wacheza vigodoro na wanaume suruali. Njoo Yanga upate raha.
Mkuu tulia , timu inakuwa imara si kwa kocha peke yake , viongozi wapo kuhakikisha hakiharibiki kituYanga siku hizi inatukera sana mashabiki wake
Kwanza kitendo chao cha kumfukuza kazi Hans Van Pluijm na kumleta huyo minjino kilitukera sana mashabiki
Sidhani Yanga chini ya huyu Lwandamina kama itakuwa na makali yake kama kipindi kile cha Hans.
Yanga imeshaharibika kitambo sema basi tu tunajikaza kiume.Mkuu tulia , timu inakuwa imara si kwa kocha peke yake , viongozi wapo kuhakikisha hakiharibiki kitu
Yanga siku hizi inatukera sana mashabiki wake
Kwanza kitendo chao cha kumfukuza kazi Hans Van Pluijm na kumleta huyo minjino kilitukera sana mashabiki
Sidhani Yanga chini ya huyu Lwandamina kama itakuwa na makali yake kama kipindi kile cha Hans.
Jibu hoja binti.Bilashaka wewe ni 7up fc
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jibu hoja binti.
Au kwa kuwa tumekuja kwenye thread yako na wewe unajikuta mjuaji.
Tutakuachia li thread lako likudodee.
Yanga tulimchukua Lwandamina kwa sababu anasifika kuwafunga mara kwa mara warabu.,hivyo basi viongozi wakapata tamaa ya kumpa kibarua lwandamina na kumfukuza hans wakidai uwezo wake umeishia pale hawezi kuivusha timu zaidi ya pale.
Umenifanya nicheke peke yangu, usiniachie nimeleta hapa ilikushare mkuuJibu hoja binti.
Au kwa kuwa tumekuja kwenye thread yako na wewe unajikuta mjuaji.
Tutakuachia li thread lako likudodee.
Yanga tulimchukua Lwandamina kwa sababu anasifika kuwafunga mara kwa mara warabu.,hivyo basi viongozi wakapata tamaa ya kumpa kibarua lwandamina na kumfukuza hans wakidai uwezo wake umeishia pale hawezi kuivusha timu zaidi ya pale.
Nina imani na uongozi wa yanga na siamini kwa mtu mmoja mmoja ndyo maana wana kuja na kuondoka but yanga still the sameJibu hoja binti.
Au kwa kuwa tumekuja kwenye thread yako na wewe unajikuta mjuaji.
Tutakuachia li thread lako likudodee.
Yanga tulimchukua Lwandamina kwa sababu anasifika kuwafunga mara kwa mara warabu.,hivyo basi viongozi wakapata tamaa ya kumpa kibarua lwandamina na kumfukuza hans wakidai uwezo wake umeishia pale hawezi kuivusha timu zaidi ya pale.
[emoji23] [emoji23]Ngoja nikuweke katika orodha ya watu wangu wa muhimu, na kama Avartar yako inaendana na hali halisi hata kwa asilimia 70 basi weka namba ya MPESA nikutumie lunch ya chakula cha mchana
Kwa upande wa masilahi na mazingira mazuri ya kazi Yanga tupo vizuri sana sema kinachotukwamisha ni hilo suala la tamaa.Umenifanya nicheke peke yangu, usiniachie nimeleta hapa ilikushare mkuu
[emoji23] [emoji23]
Mkuu asante Nina bajeti ya lunch taysri
Ni sawa lkn kumbuka lwandamila alikuwa bado mgeni na timuKwa upande wa masilahi na mazingira mazuri ya kazi Yanga tupo vizuri sana sema kinachotukwamisha ni hilo suala la tamaa.
Viongozi inabidi wabadilike bila hivyo msimu ujao ushindi tutausikia kwenye bomba tu.
Ww hukushangaa tumefunga hata na mbao fc mechi mbili mfululizo.
Na hata ubingwa wetu ilikuwa bado kidogo tu tusipate.
Huyo lwandamina mechi nyingi ameshinda kimazabe mazabe.
Ila kipindi cha Hans mtu akinusulika nusulika analambwa zake goli tatu anatulia zake pembeni,na hata idadi za mechi alizofungwa lwandamina zinahesabika ni chache sana yaani.
Unajua lwandamina amekaa na Yanga kwa muda gani?Ni sawa lkn kumbuka lwandamila alikuwa bado mgeni na timu