Ramon Abbas
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 1,961
- 3,923
Ya mkosaji. Sijaanza kutumia leo simu zenye uwezo huu!Hamna kitu hapo, tegemea baada ya mwezi kuanza ku-stuck
Ukitumia simu za brand kubwa kubwa ndo utajua 4G yake hiyo ni ya kiubabaishaji
Hamna kitu hapo, tegemea baada ya mwezi kuanza ku-stuck
Ukitumia simu za brand kubwa kubwa ndo utajua 4G yake hiyo ni ya kiubabaishaji
Hutajuta ndugu. Bora wewe mwenye wivu wa maendeleo kuliko jamaa huyu anayediss asichokijua.,....Wow!
Nimeipenda sana!
Awamu ijayo nakuwa nayo
Niandae bajet kuanzia laki ngapi kuipata miezi 6 ijayo?Hutajuta ndugu. Bora wewe mwenye wivu wa maendeleo kuliko jamaa huyu anayediss asichokijua.,....
Huku mkoani nilipo wanauza 500k. Kama uko Dar nadhani itakuwa pungufuNiandae bajet kuanzia laki ngapi kuipata miezi 6 ijayo?
Unawashwa tu ndugu. Sijakutag popote, nashangaa imekuhusuje mpaka uanze kulialia hapa. Uwe na note 20 au 80 ni yako, hainihusu kivyovyote!!Siku zote siko Judgmental but am gonna say this Mzee hatujari unatumia freaking Tecno na ina 4G, come on kila mtu ana 4G na inaonekana ndio Mara yako ya kwanza kutumia simu ambayo ni cheap ila atleast iko okay. Unakuja kutangaza uku Bro we don’t give a f**ck watu wana Freaking Note 20 Ultra na hawasemi kaa kimya mzee
Kizuri kula na mwenzio. Usimjaj negatively. Review yake inaweza kuwasaidia wengine wenye nia ya kumiliki simu nzuri kufanya uamuzi mzuriKuna jambo mleta mada unatafuta hapa sio bure
Unawashwa tu ndugu. Sijakutag popote, nashangaa imekuhusuje mpaka uanze kulialia hapa. Uwe na note 20 au 80 ni yako, hainihusu kivyovyote!!
Laki 5? Dah kweli mkoani huko wanawapiga. Huku Dar sshv mpya zinauzwa hadi 360kHuku mkoani nilipo wanauza 500k. Kama uko Dar nadhani itakuwa pungufu
Ndio, laki 5. Watapata wapi faida? Ni biashara na hakuna la ajabu.Laki 5? Dah kweli mkoani huko wanawapiga. Huku daah sshv mpya zinauzwa hadi 360k
Laki 5? Dah kweli mkoani huko wanawapiga. Huku Dar sshv mpya zinauzwa hadi 360k
Zuzu tu wewe. Hela yangu inakuumaje hata nikipigwa?. Kwa taarifa yako nimeitoa mwenyewe kiroho safi na sasa natesa na simu ya uchaguzi wangu kwa raha zangu. Roho yako ya korosho na wivu haukusaidii lolote, utakufa kihoro tu!¡Wnapigwa vibaya mno mzee...I knew it, he ain’t any smart he’s dumb as they come[emoji28]
Unaona sasa tatizo lipo hapa "sijaanza kutumia leo simu zenye uwezo huu"Ya mkosaji. Sijaanza kutumia leo simu zenye uwezo huu!