unaipendaaaa au ndio pesa uliyonayo ni kiasi cha mboga kinachoweza kuinunua hiyohiyo rav four ya 1996?...hivi hujaona hiyo mi-bugatti na mi-escalade na mi-hummer na mi- evogue sport na mengineyo kibaoooo.....
ushauri..kwa pesa yako bado ni zuri ila ukipata pesa nitafute nikupeleke kwenye magari makali ya kufa mtuuuu.