Naililia Kisarawe

Nyie wazaramo mnachoweza ni kucheza tu vigodoro, ngoma ya mdundiko, na kupiga mdomo! Uongozi na nyinyi, wapi na wapi bhana! Imagine mliwahi kumpa mpaka Kingwendu nafasi ya kugombea ubunge! Na nilisikia mlimchagua kwa kura nyingi eti! Ni basi tu wenye mamlaka waliamua kumnyima ushindi wake.

Hongera nyingi kwa huyo Kijana Msambaa kutoka Tanga kuwaongoza nyinyi Wazaramo. Na mimi Chifu wao wa Wasambaa najiandaa kuja kulichukua kabisa hilo Jimbo la Kisarawe 2025.

Mtajuta kuuza yale maeneo yenu kule Dar, na kuhamia huko Kisarawe. Hakika tutawafuata kokote mtakako kwenda
 
Ila wazalamo ni shida.

Kijana msambaa toka Tanga leo ni mwenyekiti wa vijana kisarawe, huku akiwa na deni kuubwa la fedha za halmashauri zaidi ya laki 9+

Deni kubwa la laki tisa?Ahhhhh
 
Usisahau kupeleka risiti ofisini kwake Mkuu, au hata kule bondeni kwake Kisarawe Mkuu
 
2025 nendeni na King'wendulile ili awafikishe kwenye nchi iliyojaa asali ya nyigu na pizza.
 

Hacha ukabila
 
Tena nimesikia sasa hivi vijana wa ccm kisarawe wanaongozwa na msambaa,yaani Mbunge mzaramo ana muamini msambaa kuliko wazaramo wenzake
hii ni dharau kubwa kiasi gani?


Mleta mada wewe ni mpumbafu..

#MaendeleoHayanaChama
 
Ila wazalamo ni shida.

Kijana msambaa toka Tanga leo ni mwenyekiti wa vijana kisarawe, huku akiwa na deni kuubwa la fedha za halmashauri zaidi ya laki 9+

Deni kubwa la laki tisa?Ahhhhh
Mi mwenyewe nimeshangaa... Nlidhani mamilion. Nimeangalia tena na tena na tena. Nakuta ni 900,000 plus. Nmechoka.
 
Na tukiwatafuta tukawapata tutawagonga....
 
Mbunge anajua kuwa nyie ni mazuzu na ndio maana anatumia wageni wenye akili kubwa kupanga safu ya uongozi.

Mzaramo hakupenda shule tangu awali so atabaki kuwa zuzu daima
 
Mtani pole sana nilikwenda sehem moja panaitws kiparaka km sijakosea ni sehem safi sana kwa kilimo cha mihogo ..Sasa nyie mnashindwa kumuita mtoto mlie mlea wenyewe...mmeseme mpaka aache
 
Sahih kbsaaa siyoni shida mzambaa kuwa mk wa uvcccm hata akiwa rais sinaga shida na wasambaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…