paradiso JF-Expert Member Joined May 18, 2012 Posts 1,021 Reaction score 356 Sep 4, 2013 #21 huwa nawasikitikia sana wapiga kura wa Ndugai. wanajuta sana sasa.
E Elisa kamihanda Member Joined Sep 3, 2013 Posts 6 Reaction score 0 Sep 5, 2013 #22 Mwenye mbwa na msaidizi wake hamna kitu ,wako pale kikirinda chama cha ccm .cjui tutafanyaje? mwana jf .
Mwenye mbwa na msaidizi wake hamna kitu ,wako pale kikirinda chama cha ccm .cjui tutafanyaje? mwana jf .
K Kanuniya68 Senior Member Joined May 26, 2013 Posts 157 Reaction score 44 Sep 5, 2013 #23 Kumbekini ndio spika mtarajiwa kwenye bunge la katiba
M Mndokanyi JF-Expert Member Joined Sep 6, 2012 Posts 629 Reaction score 119 Sep 5, 2013 #24 Iko siku watawajibishwa kwa matendo yao.
M Mazindu Msambule JF-Expert Member Joined Feb 22, 2012 Posts 7,508 Reaction score 6,888 Sep 5, 2013 #25 Sometimes ccm wanadhalilisha sana wasomi wetu, jinsi alivyo Ndungai unaweza kudhani naye ni darasa la saba kabisa!
Sometimes ccm wanadhalilisha sana wasomi wetu, jinsi alivyo Ndungai unaweza kudhani naye ni darasa la saba kabisa!