BabaKasheshe
JF-Expert Member
- Nov 7, 2012
- 211
- 45
Siku mingi huyu naibu spika hafai kwalolote na uwezo wake mdogo sana.
Ndugu wana JF binafsi yangu naona uwezo wa naibu spika ni mdogo kulinganisha na majukumu yake bungeni. Achilia mbali kwa hili la leo , vikao vingi anavyoendesha hatoi maamuzi ya busara sana. Huu ni mtazamo wangu, je wana JF nini maoni yenu ?