Bora wao ahalifu wa bungeni kuliko wewe kibaka wa mtaaniNaona naibu spika ulimi wake umekuwa ukiteleza.Mtu akihukumiwa ni mhalifu hatakiwi kumwita mheshimiwa.Hata anaposoma maazimio ya bunge mfano anamsimamisha Godbless Lema AU sugu.Aseme ninatangaza kuwasimamisha Godbless Lema na sugu.Asiseme ninawasimamisha waheshimiwa lema na sugu.Wana uheshimiwa gani wakati wametiwa hatiani kama wahalifu maarufu bungeni?
Ingefaa hata aseme namsimamisha mhalifu Godbless Lema mhalifu mwenzie Sugu.HIYO INA SOUND vizuri.Na inawafaa.
Hivi kwani muheshimiwa ni nani anapaswa kuitwa jamani mbona wengine wanaita madam spika/mr spika hii muheshimiwa ni Tanzania tu ndo wameikomalia wanavopenda ubwana.Ndugu wa kuheshimiwa na mtukufu ni Mungu aliye juu tu wengine mnajichumia dhambi tu.Naona naibu spika ulimi wake umekuwa ukiteleza.Mtu akihukumiwa ni mhalifu hatakiwi kumwita mheshimiwa.Hata anaposoma maazimio ya bunge mfano anamsimamisha Godbless Lema AU sugu.Aseme ninatangaza kuwasimamisha Godbless Lema na sugu.Asiseme ninawasimamisha waheshimiwa lema na sugu.Wana uheshimiwa gani wakati wametiwa hatiani kama wahalifu maarufu bungeni?
Ingefaa hata aseme namsimamisha mhalifu Godbless Lema na mhalifu mwenzie Sugu.HIYO INA SOUND vizuri.Na inawafaa.
Daima anayeegemea upande mmoja hawezi kufanya uchambuzi. Sidhani kama umewahi hata kuona chapisho la Kanuni za Kudumu za Bunge au kutafakari maana ya kauli za Naibu Spika kuhusu Wabunge kuheshimu Kiti na kinyume chake kwa mujibu wa mwongozo huo wa vikao vya bunge?Naona naibu spika ulimi wake umekuwa ukiteleza.Mtu akihukumiwa ni mhalifu hatakiwi kumwita mheshimiwa.Hata anaposoma maazimio ya bunge mfano anamsimamisha Godbless Lema AU sugu.Aseme ninatangaza kuwasimamisha Godbless Lema na sugu.Asiseme ninawasimamisha waheshimiwa lema na sugu.Wana uheshimiwa gani wakati wametiwa hatiani kama wahalifu maarufu bungeni?
Ingefaa hata aseme namsimamisha mhalifu Godbless Lema na mhalifu mwenzie Sugu.HIYO INA SOUND vizuri.Na inawafaa.
Ndugu,ili kumwelewa Huyo jamaa unatakiwa ujitoe ufahamu,uwe mchangiaji uchwara ndio mtaenda sambambaDaima anayeegemea upande mmoja hawezi kufanya uchambuzi. Sidhani kama umewahi hata kuona chapisho la Kanuni za Kudumu za Bunge au kutafakari maana ya kauli za Naibu Spika kuhusu Wabunge kuheshimu Kiti na kinyume chake kwa mujibu wa mwongozo huo wa vikao vya bunge?
Naona naibu spika ulimi wake umekuwa ukiteleza.Mtu akihukumiwa ni mhalifu hatakiwi kumwita mheshimiwa.Hata anaposoma maazimio ya bunge mfano anamsimamisha Godbless Lema AU sugu.Aseme ninatangaza kuwasimamisha Godbless Lema na sugu.Asiseme ninawasimamisha waheshimiwa lema na sugu.Wana uheshimiwa gani wakati wametiwa hatiani kama wahalifu maarufu bungeni?
Ingefaa hata aseme namsimamisha mhalifu Godbless Lema na mhalifu mwenzie Sugu.HIYO INA SOUND vizuri.Na inawafaa.
Watanzania 75% wanakunywa mataptap kwa mujibu wa tafiti za hivi karibuni
My note : mwanzo nilibisha sasa nimeamini kwa mtu kama huyu
Wapiga kura gani wanamchagua mtu mkora kama Sugu kwenye kazi ya heshima. Sugu ile kesi yake ya kutusi wabunge wenzake kwa kidole sijui imeishaje. Yeye akiongea bungeni anashusha mistari ya bongo fleva.Mh lema na mh sugu wewe ndo huoni umuhimu wao ila hao watu ni muhimu Sana kwa watu ambao Wana akili timamu na wapiga kura wao